Wadau kama kawaida ule utamu wa afcon unaanza leo 17/01/2015.
TB2 watakuwa hewani kuanzia leo mpaka mwisho wa michuano 8/02/2015. Hata kwa wale ambao hawajalipia king'amuzi tbc2 wataipata live michuano hii ya kombe la mataifa ya afrika(afcon)
makundi ni kama yafuatavyo
equatorial guinea,burkinafaso,gabon,congo.
zambia,tunisia,cape verde na congo drc.
Algeria,ghana,south africa na senegal.
Coded'ivoire,mali,cameroona na guinea.
Leo 17jan kutakuwa na mechi ya ufunguzi kati ya equatorial guinea vs congo pamoja na gabon vs burkinafaso kuanzia saa12jioni.
Karibuni tupate raha ya afcon 2015.