ila bora Ivory Coast wamechukua,wangechukua Algeria,magari yangachomwa moto balaa,helcopta za polisi zingekuwa zinazunguka angani.Hahah si ndio wamejaa huko
???????????????,Ni nderemo na vifijo kwa wachezaji na mashabiki wa timu ya taifa la Ivory Coast baada ya kufanikiwa kuibwaga timu ya taifa la Ghana kwa mikwaju ya penati 9-8, ni usiku huu ambao unamfanya golikipa wa Ghana kuibuka shujaa, amepangua penati na amefunga
Huyu Golikipa wa Ghana ndo katumaliza kabisa, penati kumi kashindwa kuchez hata moja na ya kwake kamplekea Barry mkononi.
Hawa jamaa waliteseka sana Kalou alipokosa penalty, wacha mwaka huu na wao washangilie.
Mi nina wasiwasi yule kipa kapokea mlungula.
naona dikteta issa hyatoo ametembelewa na dikteta mwenzake sepp blatter