muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Kuna marefa kutoka Tanzania wsliochaguliwa kuchezesha Afcon?..
Wakuu nijuzeni Tanzania itacheza na Nchi gani, na lini ??? (Taifa Stars)
Eeeh ee ee miaka nenda ile, Nasikia walipewa nafasi ile baada ya Somaliya kushindwa kuuhudhuria ?!! (kweli west Afrika wanapiga kabumbu )Stars hahaahaaa alichezaga 1980 muda wake ulikuaga huo saivi ni akina cape verde gabon nk
Stars kucheza tena afcon labda 2035
Refa labda yule aliyechezesha mtani jembe haahaaahaaa
Eeeh ee ee miaka nenda ile, Nasikia walipewa nafasi ile baada ya Somaliya kushindwa kuuhudhuria ?!! (kweli west Afrika wanapiga kabumbu )
Wanatumia vigezo gani?,naamini tuna marefa wazuri tu,Kama yule aliyechezesha mtani jembe siku ambayo kandambili ilitafunwa,lakini yule wa Jana aliyewabeba Yanga wataishia na kuzeekea kuchezesha ndondo...
Tutafik one day !!Kumbe na hiyo nafasi tulipewa 1980??
Kiukweli kwa match za jana na team na wachezaji walivyo stars kucheza haya mashindano ni ndoto kbs
Tutafik one day !!
Tafadhali mkuu ivo unatazama hizo mechi katika mtandao gani au channels / frequencies gani ? niwahi mkuu...
Kifupi ni kwamba Tanzania tuna njia ndefu kufikia maendeleo ya mpira sio wachezaji tu yaani ni kureform wachezaji,makocha,mashabiki, viongozi wa mpira
Yaani zingeundwa hata academy za mashabiki sio wachezaji pekee yake.
We timu inakua na makocha zaidi ya wawili kwa msimu mmoja tena ligi yenye match 26
Stars wanacheza lini
Nashukuru Mungu Tz hatukueza kufuzu katika mashindano hayo maana tungetia aibu mipira unaopigwa kule ni mwingi mno ....
Nilichokiona leo v
Kiwanja kilijaa sijui kwa match zinazofata
Mmmh! mkuu Mc Tilly Chizenga nilikuwa nimevurugwa sana ile jana baada ya timu ninayoipenda ya wananchi kutoa sare pale taifa dhidi ya wanajeshi wa ruvu shooting. Ila ndo hivo hadi dakika ya 19 Gabon ilikuwa mbele kwa goli la Pierre Aubameyang huyu mchezaji wa Borussia Dotmund-German
Tena sana kwa game nilizoziona jana sijui kama tz inaweza kupambana na hawa wababe tukaambulia kitu, ni hatari congo brazaville walipiga mpira mkubwa mpaka wenyeji wa mashindano wakaomba mpira uishe, manake wangeumbuka nyumbani kwao mbele ya jamaa zao na wakezao,mkolaj sisi Tz kwenye mipira wa miguu bado sana asee.