Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Kama vile wazinzi hawataingia mbinguni kwa hofu ya kuwabaka malaika; vivyo hivyo hakuna mwamuzi kutoka TZ anayechezesha AFCON kwa hofu ya kuuza mechi maana wanapenda sana rushwa.

Mkuu makoye matale, huu ukweli wako utakuponza usije ukang'olewa meno ndugu!!!
 
Mkuu makoye matale, huu ukweli wako utakuponza usije ukang'olewa meno ndugu!!!

Mkuu mkolaj hakuna wa kuning'oa meno wala kucha maana nimesena kweli tu, kweli tupu. Maana Bwana akiwa upande wangu, nimhofu nani?
 
Last edited by a moderator:
Dk ya 1 zambia wanaweka mpira wavuni. zambia 1-0 congo drc
 
Kwa huu mpira ninao uona kwa hii timu ya congo drc hatari sana tz kufika huku itachukua muda mrefu labda kufanyike mapinduzi ya hali ya juu, tofauti na hapo tusahau kabisa.
 
Asante kwa taarifa, endelea kutiririka. Wakongo hatari wamewalokotesha ku nyavu!
Mbona huu uzi umepooza sana au watu wapo kule kwenye uzi wa vpl wa jana hawa jamaa zetu wa kule Bunju!!!! leteni mambo ya afcon achaneni na hawa waigiza wa bongo, hawa wacongo man wamecharuka sasa.
 
Goli bado 1 - 1. (Singuluma ) Zambia dakika 1 na DR Kongo I (Bolasie )dakika ya 66. Bolasie ni mchezaji wa Crystal Palace kwenye Premier league.
 
Mbona huu uzi umepooza sana au watu wapo kule kwenye uzi wa vpl wa jana hawa jamaa zetu wa kule Bunju!!!! leteni mambo ya afcon achaneni na hawa waigiza wa bongo, hawa wacongo man wamecharuka sasa.

Hata kule hawapo. Wako vilabuni na kwenye vijiwe wakisakata gongo na disco wakishangilia ushindi wa jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…