Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana yake? Nimejaribu Google translator ina'respond' "Filipino detected", lakini inashindwa kutafsiri.
Hata kule hawapo. Wako vilabuni na kwenye vijiwe wakisakata gongo na disco wakishangilia ushindi wa jana.
Huyu mchezaji alie vaa jezi namba 10 (HELDON) wa cape verde anachezea klabu gani mbona mtamu!!! Anafanya vitu vya kufurahisha sana.
Heldon Ramos anachezea Sporting ya Portugal. Mkuu
Tena wengine hawapatikani humu mpaka wasikie simba imeshinda, hebu angalieni mpira wa watu wanaojua sio kila siku kelele kwa kumsifia mkude wakati hata hajawahi kupata offer ya kwenda kufanya majaribio hata fc leopard au tp mazembe???? acha akina Bolasie wafanye mambo ninyi bakini na sserunkuma wenu.
Haya Cape verde si tulishawahi wafunga mbona sisi tunarudi nyuma wao wanasonga tu
Mliwafunga lini au unaizungumzia cape verde ya mwaka 1970 kabla hawajapata uhuru kutoka kwa wa-potugal!!! soka linaloonesha na hawa jamaa wa visiwani si mchezo watz mkitia mguu mnaweza kupigwa hata wiki.
Ningekuwa wewe ningekuwa more concerned na fowadi yenu butu inayopata
nafasi 10 na kushindwa kufunga hata kagoli kamoja.Tambwe alijaribu kufunga kwa mkono akapewa kadi ya njano.