grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,816
VPL Mtibwa 1 JKT Ruvu 1
Coastal 0 Polisi Moro 0
Matokeo yamekaa vizuri, hahahahaaaaaa.ndiyo wajue kwamba sare ni sehemu ya matokeo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VPL Mtibwa 1 JKT Ruvu 1
Coastal 0 Polisi Moro 0
Mliwafunga lini au unaizungumzia cape verde ya mwaka 1970 kabla hawajapata uhuru kutoka kwa wa-portugal!!! soka linaloonesha na hawa jamaa wa visiwani si mchezo watz mkitia mguu mnaweza kupigwa hata wiki.








Ni kweli viongozi hawawezi kukwepa lawama wote wa Serikali pamoja na wale wa chama husika lakini pia wachezaji wenyewe.Leo tunawaona Afcon tunashangaa wamefikaje wakat tulikuwa tunawafunga, siku tukiwaona wanacheza world cup ndo tutastajabu zaidi. Hawa wenzenu wamewapata viongozi wa kuongoza chama cha mpira, huku kwetu tumewapata viongoz wa kuongoza chama cha wacheza kabumbu. Nafikiri ni mwaka wa pili sasa mfululizo hawa cape verde kushiriki haya mashindano ya caf, niliwaona kule kwa Madiba na mwaka huu tena kule E.Guinea.