Africa Cup of Nations (AFCON) 2017, Special thread

Tengeneza Jedwali la Matokeo maana wengine humu ndio sehemu ya kupatia Taarifa hizi.
 
Mane analeta ujinga badala ya kuachia timu itolewe mapema ye anakaza, hajui anaigharimu liver
 
Ivory Coast XI vs Togo: Gbohouo; Aurier, Bailly, Kanon, A.Traoré; Serey Dié, Seri, Kessiè; Zaha, Kodjia, Kalou.

Togo XI vs. Ivory Coast: Agassa; Gakpé, Romao, Ouro, Djené; Dossevi, F.Ayité, Atakora, Bebou; Laba, Adebayor.
 
[HASHTAG]#AFCON2017[/HASHTAG] – Result: DR Congo 1-0 Morocco #SSFootball#
 
Nashindano ya africa tayari yameanza mleta uzi update zipo wapi?
 
Ghana XI Vs Uganda: Brimah, Afful, Rahman, Boye, Amartey, Wakaso, Partey, Atsu, A. Ayew, J. Ayew & Gyan. UgandaCranes StartingXI Against Ghana : Onyango Denis, Iguma Dennis ,Ochaya, Isaac Isinde, Wasswa Hassan, Tonny Mawejje, Baba Kizito,Azira mike, Miya Farouk , Luwaga Kizito, Geoffrey Massa.
 
game ya uganda ilikua juu. hata ukiangalia position ilikua 50/50 waliwamudi vizuri sana Ghana na walitengeneza nafasi nyingi sema ndio hivo mwisho wa siku mpira magoli
 
game ya uganda ilikua juu. hata ukiangalia position ilikua 50/50 waliwamudi vizuri sana Ghana na walitengeneza nafasi nyingi sema ndio hivo mwisho wa siku mpira magoli
Kwa jinsi nilivyowaona Uganda kwakweli tunajidanganya tu kwenye lile kundi LA kufuzu 2019. Na jinsi Michu anavyotufahamu labda atimuliwe.
 
Kwa jinsi nilivyowaona Uganda kwakweli tunajidanganya tu kwenye lile kundi LA kufuzu 2019. Na jinsi Michu anavyotufahamu labda atimuliwe.
Hata akitimuliwa michu Uganda kwa sasa hatuwawezi
 
Tayari Zimbabwe kapewa mbili ni mlima mrefu kwao ila tungeweza kuwa na walau robo ya uwezo wa Zimbabwe katika soka sijui ingekuwaje !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…