Africa Cup of Nations (AFCON) 2017, Special thread

Africa Cup of Nations (AFCON) 2017, Special thread

Hiyo ni FORCE DE FRAPPE (nguvu ya pigo) kiukweli wamejitahidi saaana bado ndugu zetu Uganda sijui watapenya leo!
 
mkuu gui waarabu wote yaani misri,tunisia,algeria,morocco pamoja na sudan wanaujua mpira kiukweli LAKINI hawa misri wanamipango mingi sana nje ya uwanja na ndani ya uwanja kwamba wanajua sasahivi adui amepanic au amezirahi nikurudishe miaka ya nyuma kidogo zamaleki walikuja dar kucheza na majimaji yaani kuanzia dakika ya kwanza majimaji wametawala mpira lakini maajabu ya mpira tulifungwa goli tatu nilisikitika sana angalia hata mechi zao zote yaani wao wanatafuta kosa lenu tu ngoja tuangalie usiku
 
FT' DR Congo 1 - 2 Ghana
[emoji460] Mpoku I [emoji460] Jordan Ayew, [emoji460] Andre Ayew
#AFCON2017#
Ghana are through into Semi Finals
 
mkuu gui waarabu wote yaani misri,tunisia,algeria,morocco pamoja na sudan wanaujua mpira kiukweli LAKINI hawa misri wanamipango mingi sana nje ya uwanja na ndani ya uwanja kwamba wanajua sasahivi adui amepanic au amezirahi nikurudishe miaka ya nyuma kidogo zamaleki walikuja dar kucheza na majimaji yaani kuanzia dakika ya kwanza majimaji wametawala mpira lakini maajabu ya mpira tulifungwa goli tatu nilisikitika sana angalia hata mechi zao zote yaani wao wanatafuta kosa lenu tu ngoja tuangalie usiku
Kama ulijua umeyosema ndio yametokea leo
 
Misri imefuzu kuingia Fainali za [HASHTAG]#AFCON2017[/HASHTAG] baada ya kuifunga Burkina Faso goli 4-3 kwa mikwaju ya Penati.

=======

LIBREVILLE, Gabon – Egypt beat Burkina Faso 4-3 on penalties after a 1-1 draw in Libreville on Wednesday to reach the Africa Cup of Nations final.

A sumptuous strike by Mohamed Salah in the 66th minute looked to have been enough to send seven-time champions Egypt into Sunday’s final.

But Burkina Faso were level just seven minutes later thanks to Aristide Bancé, the first goal conceded by the Egyptians at this Cup of Nations, and there was no further scoring.

In the penalty shoot-out, the Burkinabe goalkeeper Kouakou Koffi saved the very first spot kick from Abdallah El Said, but then Koffi was thwarted by opposite number Essam El-Hadary.

The 44-year-old veteran goalkeeper was the hero for the Egyptians as he stopped Koffi’s effort, and then won it for the Pharoahs by getting a hand to Bertrand Traore’s penalty to clinch a place in Sunday’s final.

El-Hadary was also voted as the Man of the Match for his performance.

The second semi-final takes place on Thursday evening in Franceville, where Ghana and Cameroon will face off.

Source: AFP
 
it was a game to watch. The briliance of Burkina Fasso.team and the classic playing style from the Egyptian side.
 
Burkina Faso walichezea shilingi chooni,ikatumbukia. Tayari walikuwa na penati tatu wameshapata na Misri alishakosa moja,wakamwachia kipa apige penati ya nne. Walipokosa hiyo ya nne,wakakosa na ya tano. Mafarao wakapata zote mbili za mwisho. Misri nawasifu kwa utulivu wa kisaikolojia baada ya kukosa penati ya kwanza.
 
Back
Top Bottom