Africa Cup of Nations (AFCON) 2017, Special thread

Africa Cup of Nations (AFCON) 2017, Special thread

Ni jambo jema kupokeza kijiti cha Ushindi. Pongezi nyingi kwa Timu ya Taifa ya Cameroon kwa Ushindi wa #AFCON2017# .
 
Mkuu minguvu ndio mpira wao, ndio maana wakifika kule World Cup wakikutana na wataalam wanaoteleza wanatandikwa mabao tu.
Were mpira hujui na una ushabiki maandazi ... Kwa Africa Misri ni mojawapo ya Timu zinazocheza mpira wa kutumia akili nyingi kama ilivyo kwa timu za ulaya , lakini Leo wamezidiwa kila idara kutokana na Cameroon kujipanga na kujituma kwa malengo zaidi ... Na pia kama wangekuwa wanatumia hizo nguvu tungeshuhudia kadi nyekundu za kutosha
 
Sasa sijui wapi niliposema Misri hawatumii akili? We umedandia gari kwa mbele tu, lakini niliom-quote kanielewa vizuri. FYI, naijui football vizuri sana tu, tena ndani na nje ya uwanja.
 
Misri kabla hii game ya jana walikuwa hawajafungwa kwenye hii michuano ya AFCON katika mechi 24 mfululizo. Mara yao ya mwisho kufungwa ilikuwa ni mwaka 2004 walipofungwa na Tunissia na Tunissia ndio akawa bingwa baada ya kuwatoa.

Hii inaonyesha kwamba mwenye uwezo wa kuwafunga hawa jamaa kwenye hii michuano ndio bingwa tofauti na hapo wao ndio wanakuwa mabingwa.
 
wakienda would cup cjui
Kwann wanashindwa hatq kufka
Robo finally kwa sasa
 
Cameroon forward Christian Bassogog has been named the AFCON2017Total Man of the tournament.
SSFootball
 
Were mpira hujui na una ushabiki maandazi ... Kwa Africa Misri ni mojawapo ya Timu zinazocheza mpira wa kutumia akili nyingi kama ilivyo kwa timu za ulaya , lakini Leo wamezidiwa kila idara kutokana na Cameroon kujipanga na kujituma kwa malengo zaidi ... Na pia kama wangekuwa wanatumia hizo nguvu tungeshuhudia kadi nyekundu za kutosha
Mkuu hawa watu wameanza kufatilia mpira juzi
 
Egypt imebaki jina na siyo mpira, walitakiwa wango'okee kwa Burkinabe, Cameroon wamedeserve kupata ushindi sababu walitawala idara zote, hongera sn Cameroon
 
wakienda would cup cjui
Kwann wanashindwa hatq kufka
Robo finally kwa sasa
Hiyo world cup yenyewe kwanza hawana bahati nayo mbali na kushiriki hata kufuzu tu shughuli nzito kwao.

sikukumbuki mara ya mwisho walishiriki lini lakini nafiki ni mwanzoni kabisa ya 90s
 
Egypt imebaki jina na siyo mpira, walitakiwa wango'okee kwa Burkinabe, Cameroon wamedeserve kupata ushindi sababu walitawala idara zote, hongera sn Cameroon
Ila sasa akina Matip, Nyom & the co,itakuwa wanagugumia kama sio kujuta kwa ndani.
 
AFCON 2017: CAF names team of the tournament
Written by: david M. on 6 Feb, 2017

The Confederations of African Football (CAF) has named the best 11 players of the just ended Gabon AFCON 2017 tournament.

Champions Cameroon produced young goalkeeper Fabrice Ondoa, defender Michael Ngadeu and Christian Bassogog who was named the man-of-the-tournament.

Ghana duo of Christian Atsu and Daniel Amartey also made it in the team.

DR Congo attacker Junior Kabananga, Burkina-Faso duo Bertrand Traore and Charles Kabore also made the team.

Senegal defender Modou Kara Mbodji as well as Egypt pair Mohamed Salah and Ahmed Hegazy completed the list.

CAF AFCON 2017 Team of the tournament

Goalkeeper: Fabrice ONDOA (Cameroon)

Defenders: Modou Kara MBODJI (Senegal), Ahmed HEGAZY (Egypt), Michael NGADEU (Cameroon)

Midfielders: Charles KABORE (Burkina Faso), Daniel AMARTEY (Ghana), Bertrand TRAORE (Burkina Faso), Christian ATSU (Ghana), Mohamed SALAH (Egypt)

Forwards: Christian BASSOGOG (Cameroon), Junior KABANANGA (DR Congo)
 
Back
Top Bottom