Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Were mpira hujui na una ushabiki maandazi ... Kwa Africa Misri ni mojawapo ya Timu zinazocheza mpira wa kutumia akili nyingi kama ilivyo kwa timu za ulaya , lakini Leo wamezidiwa kila idara kutokana na Cameroon kujipanga na kujituma kwa malengo zaidi ... Na pia kama wangekuwa wanatumia hizo nguvu tungeshuhudia kadi nyekundu za kutoshaMkuu minguvu ndio mpira wao, ndio maana wakifika kule World Cup wakikutana na wataalam wanaoteleza wanatandikwa mabao tu.
Were mpira hujui na una ushabiki maandazi ... Kwa Africa Misri ni mojawapo ya Timu zinazocheza mpira wa kutumia akili nyingi kama ilivyo kwa timu za ulaya , lakini Leo wamezidiwa kila idara kutokana na Cameroon kujipanga na kujituma kwa malengo zaidi ... Na pia kama wangekuwa wanatumia hizo nguvu tungeshuhudia kadi nyekundu za kutosha
Bado watu wa mwanzo kufuzu ni mpaka oktoba at leastDhaaaa tusubirie
Mkuu
Hiv Netherlands wame fuzu kweli
Kwenda Russia
Unisaidie kuimbeq NetherlandsBado watu wa mwanzo kufuzu ni mpaka oktoba at least
wakienda would cup cjuiMisri kabla hii game ya jana walikuwa hawajafungwa kwenye hii michuano ya AFCON katika mechi 24 mfululizo. Mara yao ya mwisho kufungwa ilikuwa ni mwaka 2004 walipofungwa na Tunissia na Tunissia ndio akawa bingwa baada ya kuwatoa.
Hii inaonyesha kwamba mwenye uwezo wa kuwafunga hawa jamaa kwenye hii michuano ndio bingwa tofauti na hapo wao ndio wanakuwa mabingwa.
Mkuu hawa watu wameanza kufatilia mpira juziWere mpira hujui na una ushabiki maandazi ... Kwa Africa Misri ni mojawapo ya Timu zinazocheza mpira wa kutumia akili nyingi kama ilivyo kwa timu za ulaya , lakini Leo wamezidiwa kila idara kutokana na Cameroon kujipanga na kujituma kwa malengo zaidi ... Na pia kama wangekuwa wanatumia hizo nguvu tungeshuhudia kadi nyekundu za kutosha
Hiyo world cup yenyewe kwanza hawana bahati nayo mbali na kushiriki hata kufuzu tu shughuli nzito kwao.wakienda would cup cjui
Kwann wanashindwa hatq kufka
Robo finally kwa sasa
Ila sasa akina Matip, Nyom & the co,itakuwa wanagugumia kama sio kujuta kwa ndani.Egypt imebaki jina na siyo mpira, walitakiwa wango'okee kwa Burkinabe, Cameroon wamedeserve kupata ushindi sababu walitawala idara zote, hongera sn Cameroon
Ila sasa akina Matip, Nyom & the co,itakuwa wanagugumia kama sio kujuta kwa ndani.
Diop kawachana mubashara kabisaa. Jamaa ana akili sana Diop, sikutegemea maneno yale yatoke kwake.Acha kabisa mkuu, jamaa wamezingua sn ndio mana diouf kawaponda kinyama