Africa Cup of Nations (AFCON) 2017, Special thread

Africa Cup of Nations (AFCON) 2017, Special thread

90' Egypt 1-2 Cameroon
Mohamed Elnemy 24'
Samwel Nkoulou 60'
Aboubar 88'
 
Naona leo Misri wanafanyiwa kile ambacho huwafanyia wenzao kwa kujiangusha angusha angusha!
 
Wakameruni walitakiwa wachukue ubingwa tangu dakika 45 za mwanzo, lakini nguvu nyingi kuliko maarifa ndio iliyopelekea hii game kuwa ngumu.
 
Wakameruni walitakiwa wachukue ubingwa tangu dakika 45 za mwanzo, lakini nguvu nyingi kuliko maarifa ndio iliyopelekea hii game kuwa ngumu.
Ujue walianza kama hawataki hivi kuchukua kombe lakin tz gud wameshinda
 
Wakameruni walitakiwa wachukue ubingwa tangu dakika 45 za mwanzo, lakini nguvu nyingi kuliko maarifa ndio iliyopelekea hii game kuwa ngumu.
Hivi bado wana ile style yao ya miguvu mingi akili kiduchu?
Wananiudhigi sana kwa hilo
 
Hivi bado wana ile style yao ya miguvu mingi akili kiduchu?
Wananiudhigi sana kwa hilo

Mkuu minguvu ndio mpira wao, ndio maana wakifika kule World Cup wakikutana na wataalam wanaoteleza wanatandikwa mabao tu.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Huyu jamaa mwenye suti sijui ndio nani, naona kang'ang'ania kombe kama nayeye alicheza. Mchezaji mmoja kampa push la maana, akaona apumue tu.
 
Around black never relax ....

Cameroon wamefanya kile wanamichezo wengi tunaopenda mpira wa burudani tulichokitarajia ...

AFCON2017 ™
 
Back
Top Bottom