Africa Cup of Nations (AFCON) 2017, Special thread

Hii michuano kutokuwepo kwa Nigeria imenitoa kwenye mood kabisa.
 
Enzi kombe la mataifa ya África ilikua noma. msisimko ulikua mkubwa sana. Enzi zile Senegal wanafanya yao katika platform ya mpira afrika kabla ya kwenda kuwasambaza France wc. enzi hizo ukisikia Nigeria, Cameroon, South Africa kwa mbali, mafarao wa Misri , Ivory Coast na underdogs Zambia ama Burkina besos.....Sasa iliopoanza mara kombe la kila mwaka sijui....kifupi mvuto umepungua.
 
Ghana hapo pia
 
Siku hizi hii michuano inaanza hadi inafika fainali ndio watu wanajua hivi kumbe kuna AFCON!! tofauti kabisa na kipindi cha akina Fadiga, patrick mboma, henry camara, self diar, eto'o fils, sunday oliseh, finid george, amokach n.k

Yaani hata kabla michuano haijaanza mijadala inatawala kila kona kwamba nani hatachukua ndoo.. Hata vilabu vya ulaya vilikuwa vinaathirika sana kipindi kama hichi kwa kuondokewa na wachezaji wao... Lakin siku hizi hayo yote hayapo. Niambie ni mchazaji yupi anateka media attention kwenye mechi za leo zaidi ya aubameyang!! ?
 
Nawamis naijaaa sana aisee kweny hii afcon
 
Senegal,Egypt,black star ghana I hope mtanifrahisha
 
iyo afcon ifanyike mkwakwani, sokoine stadium, kirumba, jamhuri stadium, labda kama kuna ndondo ya afcon ndo itafnyika tz
 
unajua nini....utandawazi umesababisha yote haya.....hao wachezaji wa zamani mara nyingi tulikuwa tunawasikia tu kwenye redio na kuwasoma kwenye magazeti...ndio maana tulikuwa tunajua wana vipaji vya hali ya juu....sasa hivi wakina victor moses tunawaona kila siku wakicheza hata tumeshawazoea tunaona hawana jipya
 
Samahani mkuu hapo BMTL unamaanisha nini?
 
Kuna
Kuna lile dubwana..lilikuwa likiingia dakika ya 75...na linatupia kama mawili hivi.2010 ndio mwisho wa hao jamaa..wakati wanamtoa brazil kiwewe.Japo walipigwa 4-3.Vijana walikuwa wanakimbia na Mpira hatari
 
Kuna

Kuna lile dubwana..lilikuwa likiingia dakika ya 75...na linatupia kama mawili hivi.2010 ndio mwisho wa hao jamaa..wakati wanamtoa brazil kiwewe.Japo walipigwa 4-3.Vijana walikuwa wanakimbia na Mpira hatari

Niliicheki bwana hiyo mechi ilikuwa ni balaa, brazil walikimbizwa ile mbaya..hata lile goli la 4 la penalt walipewa tu, haikuwa haki..lakini ngoma ilikuwa 3-3..egypt ilikuwa fire aise, halafu machezaji yanapawa sio mchezo
 
Niliicheki bwana hiyo mechi ilikuwa ni balaa, brazil walikimbizwa ile mbaya..hata lile goli la 4 la penalt walipewa tu, haikuwa haki..lakini ngoma ilikuwa 3-3..egypt ilikuwa fire aise, halafu machezaji yanapawa sio mchezo
Siku hiyo KAKA aliionyesha dunia kwamba nini maana ya kuwa instrumental player unapokuwa na jezi ya timu ya taifa ya brazil, asee aliupiga mwingi sana sijapata kuona tena kwa mbrazil mwingine
 
Afadhali hata hatujafuzu maana kwa mpira mwingi unaopigwa kwenye haya mashindano tungekuwa tunakula 5>...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…