BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
miss you baby
Sikuhizi umenitupa sana miss, hata salam zangu hujibu!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
miss you baby
Hii michuano kutokuwepo kwa Nigeria imenitoa kwenye mood kabisa.Naona kama Michuano hii Siku za karibuni imepoteza Mvuto Sijui shida nini Caf wafanyefanye mambo ile ladha yake irudi.
Nakumbuka ile Fainali 2000 Nigeria Vs Cameroon muda wa Kawaida tokeo 2-2 Nigeria anakuja kufa kwenye Matuta 3-4 Kanu na Ikpepa wanakosa mikwaju yao ile ndo ilikua Fainali Kwa kweli, Daa hata msosi Sikula manake nlikua team Nigeria ila round hii ntawamiss Nigeria
Baada ya Misri ya Shehata kuanza kubeba Kombe ile ya kulifuatilia ikaisha Mpaka Zambia Anakuja kubeba tena chini ya Kina Mweene,Mayuka,Katongo,Sunzu
Ntawapa Shavu Uganda Msimu huu
Enzi kombe la mataifa ya África ilikua noma. msisimko ulikua mkubwa sana. Enzi zile Senegal wanafanya yao katika platform ya mpira afrika kabla ya kwenda kuwasambaza France wc. enzi hizo ukisikia Nigeria, Cameroon, South Africa kwa mbali, mafarao wa Misri , Ivory Coast na underdogs Zambia ama Burkina besos.....Sasa iliopoanza mara kombe la kila mwaka sijui....kifupi mvuto umepungua.Naona kama Michuano hii Siku za karibuni imepoteza Mvuto Sijui shida nini Caf wafanyefanye mambo ile ladha yake irudi.
Nakumbuka ile Fainali 2000 Nigeria Vs Cameroon muda wa Kawaida tokeo 2-2 Nigeria anakuja kufa kwenye Matuta 3-4 Kanu na Ikpepa wanakosa mikwaju yao ile ndo ilikua Fainali Kwa kweli, Daa hata msosi Sikula manake nlikua team Nigeria ila round hii ntawamiss Nigeria
Baada ya Misri ya Shehata kuanza kubeba Kombe ile ya kulifuatilia ikaisha Mpaka Zambia Anakuja kubeba tena chini ya Kina Mweene,Mayuka,Katongo,Sunzu
Ntawapa Shavu Uganda Msimu huu
Ghana hapo piaEnzi kombe la mataifa ya África ilikua noma. msisimko ulikua mkubwa sana. Enzi zile Senegal wanafanya yao katika platform ya mpira afrika kabla ya kwenda kuwasambaza France wc. enzi hizo ukisikia Nigeria, Cameroon, South Africa kwa mbali, mafarao wa Misri , Ivory Coast na underdogs Zambia ama Burkina besos.....Sasa iliopoanza mara kombe la kila mwaka sijui....kifupi mvuto umepungua.
Siku hizi hii michuano inaanza hadi inafika fainali ndio watu wanajua hivi kumbe kuna AFCON!! tofauti kabisa na kipindi cha akina Fadiga, patrick mboma, henry camara, self diar, eto'o fils, sunday oliseh, finid george, amokach n.kEnzi kombe la mataifa ya África ilikua noma. msisimko ulikua mkubwa sana. Enzi zile Senegal wanafanya yao katika platform ya mpira afrika kabla ya kwenda kuwasambaza France wc. enzi hizo ukisikia Nigeria, Cameroon, South Africa kwa mbali, mafarao wa Misri , Ivory Coast na underdogs Zambia ama Burkina besos.....Sasa iliopoanza mara kombe la kila mwaka sijui....kifupi mvuto umepungua.
Zbc 2Chanel gani kibongobongo itaonesha?
iyo afcon ifanyike mkwakwani, sokoine stadium, kirumba, jamhuri stadium, labda kama kuna ndondo ya afcon ndo itafnyika tzIvi Tanzania haiwezi kweli hata kuandaa/kuwa mwenyeji wa African Cup of Nations..............Wizara ya Habari Michezo na Utamaduni, TFF, BMTL na wadau wengine......kuna mkakati wowote wa kujaribu kuomba Tanzania kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Mbeleni ya African Cup of Nation???????
unajua nini....utandawazi umesababisha yote haya.....hao wachezaji wa zamani mara nyingi tulikuwa tunawasikia tu kwenye redio na kuwasoma kwenye magazeti...ndio maana tulikuwa tunajua wana vipaji vya hali ya juu....sasa hivi wakina victor moses tunawaona kila siku wakicheza hata tumeshawazoea tunaona hawana jipyaSiku hizi hii michuano inaanza hadi inafika fainali ndio watu wanajua hivi kumbe kuna AFCON!! tofauti kabisa na kipindi cha akina Fadiga, patrick mboma, henry camara, self diar, eto'o fils, sunday oliseh, finid george, amokach n.k
Yaani hata kabla michuano haijaanza mijadala inatawala kila kona kwamba nani hatachukua ndoo.. Hata vilabu vya ulaya vilikuwa vinaathirika sana kipindi kama hichi kwa kuondokewa na wachezaji wao... Lakin siku hizi hayo yote hayapo. Niambie ni mchazaji yupi anateka media attention kwenye mechi za leo zaidi ya aubameyang!! ?
Samahani mkuu hapo BMTL unamaanisha nini?Ivi Tanzania haiwezi kweli hata kuandaa/kuwa mwenyeji wa African Cup of Nations..............Wizara ya Habari Michezo na Utamaduni, TFF, BMTL na wadau wengine......kuna mkakati wowote wa kujaribu kuomba Tanzania kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Mbeleni ya African Cup of Nation???????
Sorry I mean BMTSamahani mkuu hapo BMTL unamaanisha nini?
Kuna lile dubwana..lilikuwa likiingia dakika ya 75...na linatupia kama mawili hivi.2010 ndio mwisho wa hao jamaa..wakati wanamtoa brazil kiwewe.Japo walipigwa 4-3.Vijana walikuwa wanakimbia na Mpira hatariHa haaa Akhui hao jamaa uliyowataja walikuwa ni balaa aise, ni moto wakuotea mbali...bila kuwasahau akina Abou trika, mohd shawki, hossam ashour, ma-defender wael gomaa, sayed mouwad n.k...misry bana ilijaaliwa kwa wachezaji....na ndiyo tim niliyokuwa naipenda sana hapa Afrika.....
Kuna
Kuna lile dubwana..lilikuwa likiingia dakika ya 75...na linatupia kama mawili hivi.2010 ndio mwisho wa hao jamaa..wakati wanamtoa brazil kiwewe.Japo walipigwa 4-3.Vijana walikuwa wanakimbia na Mpira hatari
Siku hiyo KAKA aliionyesha dunia kwamba nini maana ya kuwa instrumental player unapokuwa na jezi ya timu ya taifa ya brazil, asee aliupiga mwingi sana sijapata kuona tena kwa mbrazil mwingineNiliicheki bwana hiyo mechi ilikuwa ni balaa, brazil walikimbizwa ile mbaya..hata lile goli la 4 la penalt walipewa tu, haikuwa haki..lakini ngoma ilikuwa 3-3..egypt ilikuwa fire aise, halafu machezaji yanapawa sio mchezo
......................................#...................!.................................@...................