Nacho tazama upesi fasta fasta:
1.Misri: mto Nile ni Misri na mto Nile ni Misri. Tangu jadi
2. Nairobi: Nairobi na viunga vyake ni karibia Kenya yote kiuchumi nk.
3. Maghreb: Tunisia Algeria na Morocco pamoja ni eneo moja lililogawanyika nchi tatu. Waunde economic union yao na wafanye ushirikiano na EU.
4. Afrika kusini(SA): naliona kweli uchumi wote lipo Gauteng na viunga vyake. Honorable mentions kwa Durban na cape town.
5. Lagos - Cotonou-Lome-Accra yote pia no economic zone moja kubwa ambapo Lagos imeeneza ushawishi. Wadau, Lagos ni kiboko yao eneo la West Africa.
5. Mbali na jiji Kuu, hamna uchumi Wa kusikika katika nchi za kiafrika. Kwa hiyo ramani nimeyaona majiji yafuatayo bila wasi wasi : Nairobi, Luanda, Khartoum, Dakar, Bamako, Kampala, Addis Ababa, Kinshasa,Abuja, Dar, Harare, Mogadishu.
5. Kweli Africa ni dark continent kwa njia zaidi ya moja.