Africa from space at night.

Africa from space at night.

Do you mean this? Straingt from Google Earth.

Kenya lights ni Nairobi, Nakuru, Eldoret, Kisumu na Mombasa. Maybe na Garissa kwa mbali. Kwingine ni stone age.

Ukija Tanzania sehemu kibao zina lights, kasoro sehemu kama National Parks na Game Reserve.

Alafu bado mnasema mna electric coverage zaidi ya Tanzania kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Geza Ulole The best 007 Fundi kitasa Simon

Screenshot_1.png


Screenshot_2.png


Screenshot_3.png


Screenshot_4.png


Screenshot_5.png
 
Africa dark continent, majirani umeme kwao ni kero kila siku.
 
Kwa mujibu wa hiyo picha kampala ina mwanga zaidi, je ni kweli jiji la Dar es salaam laweza kuzidiwa na kampala kwa ukubwa? Totally no!
Hio sio Kampala inayowaka hivyo, hio ni Nairobi.
 
Do you mean this? Straingt from Google Earth.

Kenya lights ni Nairobi, Nakuru, Eldoret, Kisumu na Mombasa. Maybe na Garissa kwa mbali. Kwingine ni stone age.

Ukija Tanzania sehemu kibao zina lights, kasoro sehemu kama National Parks na Game Reserve.

Alafu bado mnasema mna electric coverage zaidi ya Tanzania kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Geza Ulole The best 007 Fundi kitasa Simon

View attachment 1958793

View attachment 1958794

View attachment 1958795

View attachment 1958796

View attachment 1958797
Tanzania umeme upo maeneo yote ukizingatia ukubwa wa eneo ni Sawa Sawa na kenya, uganda , Burundi , Rwanda ukizijumlisha kwa pamoja na Chenji inabaki
 
A picture is worth a thousand words. Atleast sisi tumejaribu. Majirani zetu wamekataa kuwasha stima. Anyway Africa bado we are struggling sana.
Kenya unahitaji kuwasha umeme ndio ijulikane ilipo, kwa Tanzania ina natural features zinazoitambulisha hata picha ikichukuliwa kutoka Pluto.
 
Mbona saudi arabia,jirani na afrika pako giza wakati wanachimba oil kabisa.?
 
Nacho tazama upesi fasta fasta:
1.Misri: mto Nile ni Misri na mto Nile ni Misri. Tangu jadi
2. Nairobi: Nairobi na viunga vyake ni karibia Kenya yote kiuchumi nk.
3. Maghreb: Tunisia Algeria na Morocco pamoja ni eneo moja lililogawanyika nchi tatu. Waunde economic union yao na wafanye ushirikiano na EU.
4. Afrika kusini(SA): naliona kweli uchumi wote lipo Gauteng na viunga vyake. Honorable mentions kwa Durban na cape town.
5. Lagos - Cotonou-Lome-Accra yote pia no economic zone moja kubwa ambapo Lagos imeeneza ushawishi. Wadau, Lagos ni kiboko yao eneo la West Africa.
5. Mbali na jiji Kuu, hamna uchumi Wa kusikika katika nchi za kiafrika. Kwa hiyo ramani nimeyaona majiji yafuatayo bila wasi wasi : Nairobi, Luanda, Khartoum, Dakar, Bamako, Kampala, Addis Ababa, Kinshasa,Abuja, Dar, Harare, Mogadishu.
5. Kweli Africa ni dark continent kwa njia zaidi ya moja.
 
Back
Top Bottom