Ni ngumu kutoka huku, sababu kuu, waliopo madarakani ndio wanafurahia..
Kuwa chawa upate uteuzi, au shughuli zako ziende kwa amani.
Wapinge wanakutengua, ama shughuli zako ubambikiwe kodi za machawa.
Sasa wengi hawana mikazo, kuliko kuishi kwa tabu anaona bora aunge moono juhudi, awe chawa tu