Africa Infrastructure development Index (AIDI) 2020. Tanzania not in top 30

Okay, labda,
lakini bado nina kiu ya kutaka kujua vigezo.
Nimekuelewa. Lakini kwa kumalizia tu wazo langu. Hakuna siku TZ au SA au nchi yoyote kubwa itakuja kuwa na mgao wa umeme kwa kila mtu kabla ya nchi ndogo. Yaani kabla ya watu 60 million kupata mgao wa umeme itakuwa ni shida sana. Lakini kugawa umeme kwa watu 1 million ni kazi kidogo sana. Vile vile kujenga lami katika kisiwa kidogo kama Seychelles kila pembe ili kila mwananchi aweze kutumia lami ni kazi kidogo sana ila kujenga lami katika nchi kubwa kama TZ kila pembe ili kila mwananchi atumie lami ni kazi ngumu sana. Kwa hivyo lazima uzingatie pia ukubwa na nchi na ukubwa wa population. Nadhani makosa unayofanya ni kuangalia 20,000 km ya lami ya TZ na kushangaa kwa nini kanchi kadogo kama Seychelles kamewashinda. Ila kama kila mtu Seychelles ana lami nje ya nyumba yake basi mbona Seychelles wasiwe juu yenu hata kama wana 1,000 km ya lami pekee? Hii ndio maana halisi ya per capita na inatumika sana in economics. Hatuzingatii tu 20,000 km yenu na kuilinganisha na 1,000 km ya Seychelles na kusema nyinyi ndio mumeshinda. Hapana. Urefu wa barabara haina maana ikiwa haifikii kila mtu. Hata mkiwa na kilomita milioni moja ya lami na haifikii 20% ya wananchi basi bado mpo nyuma ya Seychelles ambao wananchi wake wote wanaishi karibu na lami.
 
Ukiangalia hiyo orodha kuna nchi kubwa sawa au kubwa kuliko Tanzania, lkn ziko juu. Angalia nchi kama Angola, Mali, Nigeria nk ziko juu licha ya ukubwa wake. I think there are set criteria used to rank the countries. Ngoja nikipata muda nifuatilia.
 
Watanzania wengi hamjatembea
Eti mpaka Bamako Mali imeipita Tanzania. Wakati kila kukicha miradi mipya inakamilika.

Halafu cha kushangaza, Ethiopia na mradi wake mkubwa kama ule wa umeme iko kwenye nafasi ya zaidi ya 40.
 
Nimekuelewa. Lakini kwa kumalizia tu wazo langu. Hakuna siku TZ au SA au nchi yoyote kubwa itakuja kuwa na mgao wa umeme kwa kila mtu kabla ya nchi ndogo. Yaani kabla ya watu 60 million kupata mgao wa umeme itakuwa ni shida sana. Lakini kugawa umeme kwa watu 1 million ni kazi kidogo sana. Vile vile kujenga lami katika kisiwa kidogo kama Seychelles kila pembe ili kila mwananchi aweze kutumia lami ni kazi kidogo sana ila kujenga lami katika nchi kubwa kama TZ kila pembe ili kila mwananchi atumie lami ni kazi ngumu sana. Kwa hivyo lazima uzingatie pia ukubwa na nchi na ukubwa wa population. Nadhani makosa unayofanya ni kuangalia 20,000 km ya lami ya TZ na kushangaa kwa nini kanchi kadogo kama Seychelles kamewashinda. Ila kama kila mtu Seychelles ana lami nje ya nyumba yake basi mbona Seychelles wasiwe juu yenu hata kama wana 1,000 km ya lami pekee? Hii ndio maana halisi ya per capita na inatumika sana in economics. Hatuzingatii tu 20,000 km yenu na kuilinganisha na 1,000 km ya Seychelles na kusema nyinyi ndio mumeshinda. Hapana. Urefu wa barabara haina maana ikiwa haifikii kila mtu. Hata mkiwa na kilomita milioni moja ya lami na haifikii 20% ya wananchi basi bado mpo nyuma ya Seychelles ambao wananchi wake wote wanaishi karibu na lami.
Kwa maana ingine sisi ilibidi tuwe na km nyingi zenye lami kulingana na eneo letu na idadi ya watu...usizungushe kiswahili sana sisi bado tuko nyuma
 
Ukiangalia hiyo orodha kuna nchi kubwa sawa au kubwa kuliko Tanzania, lkn ziko juu. Angalia nchi kama Angola, Mali, Nigeria nk ziko juu licha ya ukubwa wake. I think there are set criteria used to rank the countries. Ngoja nikipata muda nifuatilia.
Ebwana yani mimi naamini hakuna criteria au anything scientific used in making the list. Ni feelings tu za writer ambazo zimetumika. The list is null and void.
 
Mabeberu buana! Huwa wana'waonea wivu' sana hawa majirani zetu wa kusini. 😆
 
Kweli, hapo nchi nyingi ni zile ndogondogo, nchi kubwa (zenye eneo kubwa la km za mraba) ni chache mno, na ziko kwenye nafasi za chini. Naona visiwa kibaao.

Pia huenda Tanzania kwa vile miradi yetu mingi haijakamilika..au kuzinduliwa.

Soon ikikamilika tutakuwa kwenye ramani
 
Africa Infrastructure Development Index (AIDI) 2020

1. Seychelles[emoji1213](96.73)
2. Egypt[emoji1093] (88.39)
3. Libya[emoji1149] (82.97)
4. South Africa [emoji1221](79.34)
5. Mauritius[emoji1164] (79.12)
6. Tunisia[emoji1249](70.57)
7. Morocco[emoji1173](66.53)
8. Algeria[emoji1026](57.87)
9. Cabo Verde[emoji1065] (48.88)
10. Botswana[emoji1052] (37.5)
11.Gabon[emoji1107](31.29)
12.Ghana[emoji1110](30.13)
13. Namibia[emoji1176](29.98)
14. Gambia[emoji1108](29.54)
15. Senegal[emoji1211] (29.22)
16. Eswatini [emoji1235](28.21)
17. Sao Tome and Principe[emoji1209] (27.54)
17.Kenya[emoji1139] (26.09)
18. Zimbabwe[emoji1269] (25.54)
19. Djibouti[emoji1089] (24.64)
21.Cote d'Ivoire[emoji1081] (24.18)
22. Comoros [emoji1076](24.13)
23. Zambia [emoji1268](23.97)
24. Nigeria[emoji1184] (23.27 )
25. Uganda[emoji1254] (21.97)
26. Malawi[emoji1156] (21.79 )
27. Rwanda[emoji1206] (21.70)
28.Cameroon[emoji1062] (20.69)
29. Angola[emoji1029](20.07)
30. Equatorial Guinea[emoji1095] (19.33)

Infrastructure development is a key driver for progress across the African continent and a critical enabler for productivity and sustainable economic growth. it contributes significantly to human development, poverty reduction and the attainment of the Millenium Development Goals (MDG's).

N.B: The figures in the brackects are index scores.

Source : Africa Infrastructure Development Index (AIDI) 2020

MDGs 2020????? Watu wanaongelea SDGs sasa hivi.

Chanzo cha hii habari ni kipi na ni ya lini?
 
Tanzania miradi ipi?

Fly 2: nenda uganda au kenya kaone flyover zipo ngapi.

Kuna mikoa hadi leo hakuna barabara ya lami.

Uganga na kenya wana highway nyingi tuu, niembie Tanzania barabara ipi yenye hadhi ya super highway ( highspeed without interuption), barabara ambayo ni more than 3 lanes na unaweza tembea KM 10 bila interuption.
Kweli, hapo nchi nyingi ni zile ndogondogo, nchi kubwa (zenye eneo kubwa la km za mraba) ni chache mno, na ziko kwenye nafasi za chini. Naona visiwa kibaao.

Pia huenda Tanzania kwa vile miradi yetu mingi haijakamilika..au kuzinduliwa.

Soon ikikamilika tutakuwa kwenye ramani
 
Watanzania wengi hamjatembea
hii list yako ya mfukoni ilifaa uichambue kwanza.

lakini kwa sababu una tabu mpaka kichwani, huo muda huna.

embu tupe vigezo vilivyotumika, usidhani kila mtj hatembei, kuna mdereva wa mroli humu, na watafiti mbali mbali, wakiona hii wanakushangaa.
 
Kwa maana ingine sisi ilibidi tuwe na km nyingi zenye lami kulingana na eneo letu na idadi ya watu...usizungushe kiswahili sana sisi bado tuko nyuma
km nyingi za lami zinaanzia ngapi ndugu?!!!

kila kitu lazima tufanye kitaalam, sio kwa mahaba.
 
Tanzania miradi ipi?

Fly 2: nenda uganda au kenya kaone flyover zipo ngapi.

Kuna mikoa hadi leo hakuna barabara ya lami.

Uganga na kenya wana highway nyingi tuu, niembie Tanzania barabara ipi yenye hadhi ya super highway ( highspeed without interuption), barabara ambayo ni more than 3 lanes na unaweza tembea KM 10 bila interuption.
kwahiyo ukiambiwa barabara unawaza flyover. unajua hata flyover ni kitu gani kweli?? na inajengwa mazingura yapi!!!

wacha ushamba wa kuabudu kenya kila wakati.
kenya kuna highway nyingi[emoji16][emoji16]ngapi!!!hiyo thika ni moja sio tano.
 
Kwa hivyo Kenya tuna Thika pekee?
 
EuVC30wXMAAobuY.jpg
 
Back
Top Bottom