Africa Is Two to Three Weeks Away From Height of Virus Storm!

Acheni upuuzi unaondaje total Lockdown kwenye cases 19 tu ?

Yaani watu waache kufanya kazi kwajili ya kujificha kuugua Mafua na Pneumonia ?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaambia kila siku humu. Wazungu hawawaonei wivu, ni ujinga wetu tu. Wanawapa ARVs, dawa za cancer, kisukari, BP, mitambo ya CT scan na x-ray, magari ya kubeba wagonjwa, condom, gloves na kila chochote kinachotumika hospitali. Hata vitanda vya kujifungua wanaleta wao leo hii useme wanakutakia shida.

Ndo maana mimi sina mpango wa kusaidia watu. Unawasaidia afu ukipata shida wao hawana msaada, wanakusimanga.
 
Hivyo vyote ulivyotaja, huwa wanaleta bure?
 
Kuna kitu hukijui siku ukikijua utarudi usome tena hii comment yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni upuuzi unaondaje total Lockdown kwenye cases 19 tu ?

Yaani watu waache kufanya kazi kwajili ya kujificha kuugua Mafua na Pneumonia ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo nyuzi hamsomi kwa hiyo bahati mbaya mnaendelea kuandika yale yale ambayo yalishaelezwa wazi wazi. Ulibahatika kuona taarifa hizi mwezi mmoja uliopita ulaya na marekani?


Source: Our Leader's stubborness will cost us dearly - JamiiForums
 
Io ya wiki mbili zijazo sio ile ya china au italy io bdo ipo maabara inapikwa kwa ajili.yetu inakuja LATEST VISION Of covid 19 wao wakiwa tayar na chanjo ili wote tuonge lughaa moja

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanasema kuna aina nne za coronavirus sasa ni chaguo letu tu
Kuna watu billion 3 duniani wamefungiwa kutoka nje hao ni zaidi ya watu waliokuwa wanaishi duniani wakati wa vita vya pili


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hivyo vyote ulivyotaja, huwa wanaleta bure?
Ni nchi gani ya Afrika ishawahi peleka ARVs, vifaa tiba Marekani. Nchi gani ina shirika la kutoa misaada kwa wazungu.

Unataka kusema USAID na wenzake hujui wanafanya nini. Hata vyoo kuna mda tunajengewa, nchi gani ya Afrika inadhamini ujenzi wa shule au hospitali Ulaya.

Hawaleti bure kwani bajeti hawachangii wao, kila siku misaada kutoka kwa wahisani. Ni sawa na mtu akiwapa wazazi wake fedha wakanunua chakula na kulipa bili. Lakini huyo mtu hajawapa magunia ya mchele.
 
Brilliant...
 
Ohoo ulikua na maana hiyo?

Na sio kwamba ulimaanisha hivyo vitu huwa hatulipii hata sent!
 
Sawa ,ila kumbuka hao wazungu walizoa rasimali zetu za kutosha enzi za ukoloni ukiacha mbali unyonyaji waliofanya hata baada ya ukoloni mfano madini huko DRC na sehemu nyingine kwa hiyo kwangu mimi kutupa misaada siyo kigezo cha kuwachukulia wema kwetu kivile .
 

Kwahiyo hao wazungu wanaleta vitu bure?!
Poor mind


Sent using IPhone X
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…