Africa Kusini haijawahi kuwa na Rais wa kueleweka tena baada ya Nelson Mandela

Mandela alieleweka?
 
Malema asingemuacha trump aongee ucenge,ingekua zaidi ya zelensky
Asingeweza kufanya chochote, wengine wanakuwa na ujasiri wakiwa mbali na muhusika, kwa leo hii hapo 'Oval office', unaweza kuamini ndiye yule Rais wa Afrika kusini aliyemjibu Rais Trump?​
 
Cyril hakujiandaa kua first citizen wa SA, Makaburu ndio walimtaka awe rais wa nchi cause ni mtu wao for years. Ni moja kati ya viongozi wa hovyo wasio na msimamo na hata asiejua anatakiwa kufanya nini akiwa state house. Tazama alivoshindwa kudhibiti mauaji ya his fellow black almaarufu kama Zimophobia, hata the way alivyokua akijibu maswali ya viongozi wenzie wa Africa kuhusu hilo. Kingine, kama walivyo ma rais wengi wa Africa...., WIZI kwa mali za umma? Huzuni kubwa. Namsamehe Jacob Zuma cause the guy was school less, huyu ni msomi na mfanyabiashara mkubwa but a leader without vision
 
Asingeweza kufanya chochote, wengine wanakuwa na ujasiri wakiwa mbali na muhusika, kwa leo hii hapo 'Oval office', unaweza kuamini ndiye yule Rais wa Afrika kusini aliyemjibu Rais Trump?​
Hakutaka rudia ya zelensky,ukiwa rais lazima uwe diplomatic, elastic siyo rigid kama yule mshamba wa geita,ramaphosa kafata deals na kapata deals zake
 
Mandela Mwenyewe hana Legacy yoyote ya maana SA, Amekuwa portrayed tu Vile na Ulimwengu kwasababu alitetea Masilahi ya Wazungu hao,
 
Huyo Mandela ndo alieleweka unadhani ?
 
DXP alitoka katika tanuru la moto la Cultural revolution lililo muumiza yeye,familia yake,ndugu na jamaa zake na hata wanachama wake na wananchi kwa kiasi kikubwa lakini huyu ndie aliye geuza taswira nzima ya China na alikuwa na miaka 70+
 
Hakuna kiongozi wa China aliyepitia robo ya aliyopitia Mandela
 
Umeandika Kwa hisia
Ram was really composed na hakwenda US Kwa mapambano alienda Kwa ajili ya diplomasia ya biashara na hapo amemuwin Trump
 
Kabisa
Sijui kwann
 
Hakuna kiongozi wa China aliyepitia robo ya aliyopitia Mandela
Cultural revolution was worse familia yake DXP wali shughulikiwa kisawasawa

Mtoto wake DXP aliumizwa inaweza kuwa DXP hakufungwa miaka 27 kama Madiba ila aliyopitia yalikuwa magumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…