Africa Kusini haijawahi kuwa na Rais wa kueleweka tena baada ya Nelson Mandela

Kabisa na USA angefunga makampuni yao waliyowekeza huko Sauth nafikiri anguko la uchumi lingetokea kubwa sana, Raisi kaiangalia Nchi kwanza kwa inako kwenda, naamini kabisa walikaa kwanza kujadiliana juu ya mstakabalia wa nchi nzima kwa muda mrefu zaidi. Tofauti na sisi Nchi yetu malengo yetu mengi yanaishia kwenye makalabrasha.
 
Hata mimi nimesikitishwa mno...Afrika Kusini kwa hakika haina kiongozi kwa sasa...Ramaphosa hilo jukumu la kuiongoza SA halimtoshi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…