gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Kwa umbile lake binadam ni social creature,huchat na kupiga soga,kuchuniana ni uhayawani, hao wapo kwenye hatua ya uhayawani,yaani kama nguruwe poriNi kupotezeana muda unaweza kuta mtu amekukuta kwenye dimbwi la fikra na halmashauri ya ubongo wako kisha anakuletea Stori za kipuuzi.
Ile ya sauzi ni hatari, ile kauli mjini akili ile sasa ni zaido. Lifestyle ya sauzi ni km movieKwa umbile lake binadam ni social creature,huchat na kupiga soga,kuchuniana ni uhayawani, hao wapo kwenye hatua ya uhayawani,yaani kama nguruwe pori
Sauzi uhalifu mbele,ni jamii iliyooza,sidhani kama watarudi nyuma,hujui watarudije nyuma Ili wawe watuIle ya sauzi ni hatari, ile kauli mjini akili ile sasa ni zaido. Lifestyle ya sauzi ni km movie
Kilugha mkiongea mko wawili sawa. Ila mbele za watu inakuwa kama mnawateta.Wabongo ukiacha ujinga mwingi tulionao, tuna ujamaa sana. Tunapenda kuchangamana. Hata mimi nikiwa nje huko nikasikia mbongo ama mtu anaongea kiswahili lazima nitake kumpa salamu kidogo.
Hata hapa bongo nikikutana na mtu ama nikamsikia anaongea lugha ya nyumbani kwetu lazima nitake kumsalimia tuongee kidogo kikwetu. Sema niliwahi kukutana na mshikaji nimesoma nae Primary tunapiga kilugja fresh, nikamsemesha kilugha hapa Dar akasema hakijui nilichoka sana.
Hadi namba za simu kubadilishana utokea.na hamjuani, mmekutana tu kwenye gari
Aisee, hao waliokuzidi vitu vingi wanakuwa hivyo.....ujamaa mzigo Sana.Kwa umbile lake binadam ni social creature,huchat na kupiga soga,kuchuniana ni uhayawani, hao wapo kwenye hatua ya uhayawani,yaani kama nguruwe pori
Wewe kumbe umeleta mada Ili ufanye ligiMsaada sio wa fedha tuu mkuu
Unaongeaje kilugha dar acha ushambaWabongo ukiacha ujinga mwingi tulionao, tuna ujamaa sana. Tunapenda kuchangamana. Hata mimi nikiwa nje huko nikasikia mbongo ama mtu anaongea kiswahili lazima nitake kumpa salamu kidogo.
Hata hapa bongo nikikutana na mtu ama nikamsikia anaongea lugha ya nyumbani kwetu lazima nitake kumsalimia tuongee kidogo kikwetu. Sema niliwahi kukutana na mshikaji nimesoma nae Primary tunapiga kilugja fresh, nikamsemesha kilugha hapa Dar akasema hakijui nilichoka sana.
Ubinaadam siyo material mzeeAisee, hao waliokuzidi vitu vingi wanakuwa hivyo.....ujamaa mzigo Sana.
Wewe itakua wanakunusa nyuma sio bureNi mashoga tu kama wewe na mwenzio ndio mnaweza kukataa kuongea lugha zenu.
Watu wanasema Africa kusini kuna ubaguzi, lakini utawasikia wanasema kipindi cha magufuli wasukuma walikuwa ni wengi, lakini wanashindwa kujua huo nao ni ubaguzi kama ulivyo Africa kusini, utofauti ni udogo au ukubwa wa tatizoAisee
Bado tunawaita waarabu ni wabaguzi, tunajisahauWatu wanasema Africa kusini kuna ubaguzi, lakini utawasikia wanasema kipindi cha magufuli wasukuma walikuwa ni wengi, lakini wanashindwa kujua huo nao ni ubaguzi kama ulivyo Africa kusini, utofauti ni udogo au ukubwa wa tatizo
Siku nyingine inabidi ukaushe tuUmefika hatua hata ukitaka kumsaidia mtu anakuhisi unataka kumtapeli.
Kwa madiba palinishangaza sana, watu wanaishi kwa kuliana Timing, hii inasababisha hata ukitaka kumsaidia mtu anahisi unataka kumtapeli.
Ilikuwa siku moja nipo Johannesburg katika mji wa Germiston, nikamsikia jamaa mmoja anaongea kiswahili fulan japo ilikuwa na lafudhi ya Kenya hivi nikasema mwenzangu huyu hata tupige stori moja mbili tatu za hapa(japo kuwa mimi nilikuwa napita naenda nchi nyingine).
Nilishangaa sana jamaa kaniruka tena kwa maneno ya kunishangaza, mwenyeji wangu nilipomsimulia hii kisa akanambia S. Afrika usimuamini mtu hiyo ni kanuni yakwanza ambayo ni lazima uifate. Kwangu mimi niliona km ni kanuni inayoweza kukunyima fursa mpya maana kuna mwingine atataka akusaidie tuu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wabongo mnaendekeza ujamaa mno.! usisikie tu mtu kaongea kiswahili tayari ushamsogelea kumpelekea story zako za Simba na Yanga
sasa kwa madiba ni mazingira gani ni maturity kwa kujitafuta hasa ukiwa huna kitu mkuuHuko unaishi km uko polini vile yaani unajikausha tu may be ulaya ila madiba everybody is criminal it dependa uko mazingira gani