Africa Kusini nchi ngumu

Africa Kusini nchi ngumu

Ni kupotezeana muda unaweza kuta mtu amekukuta kwenye dimbwi la fikra na halmashauri ya ubongo wako kisha anakuletea Stori za kipuuzi.
Kwa umbile lake binadam ni social creature,huchat na kupiga soga,kuchuniana ni uhayawani, hao wapo kwenye hatua ya uhayawani,yaani kama nguruwe pori
 
Kwa umbile lake binadam ni social creature,huchat na kupiga soga,kuchuniana ni uhayawani, hao wapo kwenye hatua ya uhayawani,yaani kama nguruwe pori
Ile ya sauzi ni hatari, ile kauli mjini akili ile sasa ni zaido. Lifestyle ya sauzi ni km movie
 
Wabongo ukiacha ujinga mwingi tulionao, tuna ujamaa sana. Tunapenda kuchangamana. Hata mimi nikiwa nje huko nikasikia mbongo ama mtu anaongea kiswahili lazima nitake kumpa salamu kidogo.

Hata hapa bongo nikikutana na mtu ama nikamsikia anaongea lugha ya nyumbani kwetu lazima nitake kumsalimia tuongee kidogo kikwetu. Sema niliwahi kukutana na mshikaji nimesoma nae Primary tunapiga kilugja fresh, nikamsemesha kilugha hapa Dar akasema hakijui nilichoka sana.
Kilugha mkiongea mko wawili sawa. Ila mbele za watu inakuwa kama mnawateta.
 
Wabongo ukiacha ujinga mwingi tulionao, tuna ujamaa sana. Tunapenda kuchangamana. Hata mimi nikiwa nje huko nikasikia mbongo ama mtu anaongea kiswahili lazima nitake kumpa salamu kidogo.

Hata hapa bongo nikikutana na mtu ama nikamsikia anaongea lugha ya nyumbani kwetu lazima nitake kumsalimia tuongee kidogo kikwetu. Sema niliwahi kukutana na mshikaji nimesoma nae Primary tunapiga kilugja fresh, nikamsemesha kilugha hapa Dar akasema hakijui nilichoka sana.
Unaongeaje kilugha dar acha ushamba
 
Umefika hatua hata ukitaka kumsaidia mtu anakuhisi unataka kumtapeli.

Kwa madiba palinishangaza sana, watu wanaishi kwa kuliana Timing, hii inasababisha hata ukitaka kumsaidia mtu anahisi unataka kumtapeli.

Ilikuwa siku moja nipo Johannesburg katika mji wa Germiston, nikamsikia jamaa mmoja anaongea kiswahili fulan japo ilikuwa na lafudhi ya Kenya hivi nikasema mwenzangu huyu hata tupige stori moja mbili tatu za hapa(japo kuwa mimi nilikuwa napita naenda nchi nyingine).

Nilishangaa sana jamaa kaniruka tena kwa maneno ya kunishangaza, mwenyeji wangu nilipomsimulia hii kisa akanambia S. Afrika usimuamini mtu hiyo ni kanuni yakwanza ambayo ni lazima uifate. Kwangu mimi niliona km ni kanuni inayoweza kukunyima fursa mpya maana kuna mwingine atataka akusaidie tuu.
Siku nyingine inabidi ukaushe tu
 
Huko unaishi km uko polini vile yaani unajikausha tu may be ulaya ila madiba everybody is criminal it dependa uko mazingira gani
sasa kwa madiba ni mazingira gani ni maturity kwa kujitafuta hasa ukiwa huna kitu mkuu
 
Back
Top Bottom