Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi imechangamka Ile ukaribu wa Sana hauna tija, kwani kuchomana nje nje.Hapana kaka, watu wanashida south, unaweza ukawa na uwezo wa kumsaidia hata kwa ushauri au kumuunganishia kazi lkn wao uhisi unamtapeli
Ok tujifunze kuepuka ujamaaWabongo ukiacha ujinga mwingi tulionao, tuna ujamaa sana. Tunapenda kuchangamana. Hata mimi nikiwa nje huko nikasikia mbongo ama mtu anaongea kiswahili lazima nitake kumpa salamu kidogo.
Hata hapa bongo nikikutana na mtu ama nikamsikia anaongea lugha ya nyumbani kwetu lazima nitake kumsalimia tuongee kidogo kikwetu. Sema niliwahi kukutana na mshikaji nimesoma nae Primary tunapiga kilugja fresh, nikamsemesha kilugha hapa Dar akasema hakijui nilichoka sana.
Kiongozi uliumia Sana.Lkn mbona nchi zingine ziko sawa tuu ukilinganisha na hii nchi!?
kanuni ni kanuni,...kama unaona sio sahihi peleka bunge likatengue,..📌🔨🙄Sio kanuni sahihi lkn
na hamjuani, mmekutana tu kwenye gariUshazoea maisha ya kelele na shida zako kila mmoja azisikie Kwa kupiga stori bila kujuana, walishavuka huko. Njoo bongo mtoke Kisemvule hadi gerezani kwenye Tata gari nzima mnapiga Stori moja kama limekodishwa vile.
Kwa Africa kuwa mtanzania ni faida sana, kuna feeling fulani hivi ambayo huwezi kuipata nchi nyingine yoyote Africa.Ushazoea maisha ya kelele na shida zako kila mmoja azisikie Kwa kupiga stori bila kujuana, walishavuka huko. Njoo bongo mtoke Kisemvule hadi gerezani kwenye Tata gari nzima mnapiga Stori moja kama limekodishwa vile.
Sio ushamba mkuu, mfano unakutana na mtu anaongea lugha yako alafu huyu mtu km vile anauitaji wa kusaidiwa kwenye haya maisha ya utafutaji nawewe unayo uwezo wa kumsanua kwenye fursa fulani, ukimuongelesha ni kosa?Kwa madiba ulaya na marekani hakuwahitaji watu kama nyie hivi hauwezi kubalance shobo yaani usisikie mtu kazungumza kiswahili ushamdaka huna kazi ya kufanya au
Jifunze ku-balance shobo.Sio ushamba mkuu, mfano unakutana na mtu anaongea lugha yako alafu huyu mtu km vile anauitaji wa kusaidiwa kwenye haya maisha ya utafutaji nawewe unayo uwezo wa kumsanua kwenye fursa fulani, ukimuongelesha ni kosa?
😅😅😅Wabongo mnaendekeza ujamaa mno.! usisikie tu mtu kaongea kiswahili tayari ushamsogelea kumpelekea story zako za Simba na Yanga
Huna uwezo wa kusaidia mtu wewe mtu yeyote aliepo Kiwanja huna uwezo wa kumsaidia kivyovyote zaidi unatafuta matatizo tu huko Kila mtu kivyake balance shobo Rudi tanzania usaidie omba omba kibao wapo barabarani kama unania ya kusaidia mtuSio ushamba mkuu, mfano unakutana na mtu anaongea lugha yako alafu huyu mtu km vile anauitaji wa kusaidiwa kwenye haya maisha ya utafutaji nawewe unayo uwezo wa kumsanua kwenye fursa fulani, ukimuongelesha ni kosa?
Msaada sio wa fedha tuu mkuuHuna uwezo wa kusaidia mtu wewe mtu yeyote aliepo Kiwanja huna uwezo wa kumsaidia kivyovyote zaidi unatafuta matatizo tu huko Kila mtu kivyake balance shobo Rudi tanzania usaidie omba omba kibao wapo barabarani kama unania ya kusaidia mtu