Africa Kusini nchi ngumu

Africa Kusini nchi ngumu

Wabongo ukiacha ujinga mwingi tulionao, tuna ujamaa sana. Tunapenda kuchangamana. Hata mimi nikiwa nje huko nikasikia mbongo ama mtu anaongea kiswahili lazima nitake kumpa salamu kidogo.

Hata hapa bongo nikikutana na mtu ama nikamsikia anaongea lugha ya nyumbani kwetu lazima nitake kumsalimia tuongee kidogo kikwetu. Sema niliwahi kukutana na mshikaji nimesoma nae Primary tunapiga kilugja fresh, nikamsemesha kilugha hapa Dar akasema hakijui nilichoka sana.
Ok tujifunze kuepuka ujamaa
 
Kwa madiba ulaya na marekani hakuwahitaji watu kama nyie hivi hauwezi kubalance shobo yaani usisikie mtu kazungumza kiswahili ushamdaka huna kazi ya kufanya au
 
Ushazoea maisha ya kelele na shida zako kila mmoja azisikie Kwa kupiga stori bila kujuana, walishavuka huko. Njoo bongo mtoke Kisemvule hadi gerezani kwenye Tata gari nzima mnapiga Stori moja kama limekodishwa vile.
Kwa Africa kuwa mtanzania ni faida sana, kuna feeling fulani hivi ambayo huwezi kuipata nchi nyingine yoyote Africa.
 
Kwa madiba ulaya na marekani hakuwahitaji watu kama nyie hivi hauwezi kubalance shobo yaani usisikie mtu kazungumza kiswahili ushamdaka huna kazi ya kufanya au
Sio ushamba mkuu, mfano unakutana na mtu anaongea lugha yako alafu huyu mtu km vile anauitaji wa kusaidiwa kwenye haya maisha ya utafutaji nawewe unayo uwezo wa kumsanua kwenye fursa fulani, ukimuongelesha ni kosa?
 
Jifunze ku-balance shobo.
 
Sio ushamba mkuu, mfano unakutana na mtu anaongea lugha yako alafu huyu mtu km vile anauitaji wa kusaidiwa kwenye haya maisha ya utafutaji nawewe unayo uwezo wa kumsanua kwenye fursa fulani, ukimuongelesha ni kosa?
Huna uwezo wa kusaidia mtu wewe mtu yeyote aliepo Kiwanja huna uwezo wa kumsaidia kivyovyote zaidi unatafuta matatizo tu huko Kila mtu kivyake balance shobo Rudi tanzania usaidie omba omba kibao wapo barabarani kama unania ya kusaidia mtu
 
Msaada sio wa fedha tuu mkuu
 
Back
Top Bottom