Africa Kusini nchi ngumu

Africa Kusini nchi ngumu

sasa kwa madiba ni mazingira gani ni maturity kwa kujitafuta hasa ukiwa huna kitu mkuu
Cha msingi ku avoid kukaa na wabongo wahalifu au wanaofanya dili haramu umpate mtu yuko possitive unaweza kaa miaka hata 20 usiskie hata mkwaruzo wa risais mwilini mwako
 
Cha msingi ku avoid kukaa na wabongo wahalifu au wanaofanya dili haramu umpate mtu yuko possitive unaweza kaa miaka hata 20 usiskie hata mkwaruzo wa risais mwilini mwako
Nimekupata mkuu...iko hivi mm lengo kuu nikiwa SA nipate mwanya wa kutoboa aidha ulaya au US ndo maana nauliza ivo
 
Back
Top Bottom