fungi6
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 287
- 266
Unaweza uKabisha mpaka ukafa ila ukweli uwa unabakia kua ukweli siku zote, tokea nipo shuleni tumekua tukitumia hii ramani ya duniA
ambayo imekua ikituonyesha kua Africa ni ndogo sana kwa Russia ambapo nikaja pata elimu kidogo kua raman ya dunia nzima uwa ina chora kwa kutumia 2 dimensio of sphere (nazani nimeeleweka) ukiaangalia iyo raman imechora kwa kutumia 2 dimension representation of sphere ambayo ni sawa na 3 dimensional ambapo kwenye kona za picha iyo lazima upana uongezeke na siio kati kati
Basi bana juzi kati nikiwa napita pita mitandaoni nikakutana na link ambayo nitaitoa apa ikionyesha true size of countrie nitaambatanisha na picha ambazo nimefanyia comparison kati ya Africa na baadhi ya nchi zifwatazo
Na ndipo apo nikaona kua kumbe russia ni ndogo kwa africa.
Ajabu kushangaza kabisa kumbe pia Africa ni kubwa sana kuliko marekani🤒 ikiwa ivi.
wabishi amkosekani najua jf ila..
Ata mbishe mpaka mtoke mate ukweli mwingine usio pingika ki sayansia ni kua Africa ni kubwa pia zaidi ya GREENLAND😣
Ni ajabu ila
MUNGU IBARIKI AFRICA NA WATU WAKE 😉
Kwa wale wanao penda jua size za nchi nyingine na upana wa mraba unaweza tembelea i link ujifunze upana wa miraba wa nchi tofauti tofauti duniani😋
SOURCE: Compare Countries With This Simple Tool