Africa: Tanzania’s Tourism Sector Hits $4 Billion, Surpasses Gold as Top Forex Earner

hiyo ni bad news kama utalii umeipita dhahabu, dhahabu siku zote ilikuwa ni namba 1, ina maana tunarudi nyuma kwa maana zamani kabla ya dhahabu kuanza kuchimbwa ndiyo utalii ulikuwa namba 1 baada ya kuanza kuchimba dhahabu iliongoza.

hivyo tunarudi nyuma ...
 
Rudi parasitic unatia aibu ,Acha waliosoma wachambue
 
elezea ninavyotia aibu, sasa unataka kulinganisha uchumi wa madini na wa utalii? nchi yoyote inayotegema utalii ni umaskini, hayo ni mambo ya visiwa vidogo lkn kwa nchi kubwa yenye km za mraba karibia milioni na watu milioni 60 kutegemea utalii ni bad news …
 
Back
Top Bottom