Wakenya hawataki sikia hii mambo ndio maana media zao hata vitubvya uwong wanatupia tubmradi kuchafua nchi.SHAMEAfrica: Tanzania’s Tourism Sector Hits $4 Billion, Surpasses Gold as Top Forex Earner | ATQ News
Tanzania’s tourism industry has reached a major milestone, generating nearly $4 billion in revenue and overtaking gold as the country'satqnews.com
Rudi parasitic unatia aibu ,Acha waliosoma wachambuehiyo ni bad news kama utalii umeipita dhahabu, dhahabu siku zote ilikuwa ni namba 1, ina maana tunarudi nyuma kwa maana zamani kabla ya dhahabu kuanza kuchimbwa ndiyo utalii ulikuwa namba 1 baada ya kuanza kuchimba dhahabu iliongoza.
hivyo tunarudi nyuma ...
Rudi parasitic unatia aibu ,Acha waliosoma wachambue