iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,412
- 8,198
Mkuu..it is looking as an interesting story hebu ifunguliepo ka uzi angalau ili tujue mengi zaidi ya hao jamaa, inaonekana una mengi zaidi ya kutusimulia....Nilishaletewa na room mate mke wake akidai ni dada yake.... huwa hawana wivu kabisa mbele ya pesa. Aidha kumtoa mke wake kafara kama kumbebesha madawa hawajambo hawa watu!