Africa tulivyogawanyika

Africa tulivyogawanyika

Nilishaletewa na room mate mke wake akidai ni dada yake.... huwa hawana wivu kabisa mbele ya pesa. Aidha kumtoa mke wake kafara kama kumbebesha madawa hawajambo hawa watu!
Mkuu..it is looking as an interesting story hebu ifunguliepo ka uzi angalau ili tujue mengi zaidi ya hao jamaa, inaonekana una mengi zaidi ya kutusimulia....
 
Mkuu..it is looking as an interesting story hebu ifunguliepo ka uzi angalau ili tujue mengi zaidi ya hao jamaa, inaonekana una mengi zaidi ya kutusimulia....
Huwa nawahurumia mabinti akina wambura ati nana mchumba mnijeria!!!! Uzi achana nao
 
Nilishaletewa na room mate mke wake akidai ni dada yake.... huwa hawana wivu kabisa mbele ya pesa. Aidha kumtoa mke wake kafara kama kumbebesha madawa hawajambo hawa watu!
Wanaijua pesa sana awa watu.lakini kweli mke sio ishu kubwa sana utaoa mwingine tuu maana wapo wengi.
 
Sasa hapo ndio tunaona nani alikuwa na maarifa yakuendeleza tamaduni zao Au zile za mkoloni. .....West walisimama Imara kushikilia Tamaduni zao ikiwepo mavazi, chakula, lugha na dini pia....
wa East tukaona ni vyema kuiga kila kitu....matokea yake ndio hayo. .....
Staple food ya East/South Africa zinafanana sana.... Wakati West hawaingiliani kila mtu na msosi wake. ....
Mkuu kwanza huku kwetu born towns wanaona Norma kula ugali wa mhogo, Tembea Dar uhesabu restaurants inazoweza kupata ugali huo, Kijiji cha Makumbusho wanapika lakini ni mpaka apate order na unachukua muda
 
Mkuu kwanza huku kwetu born towns wanaomba Norma kula ugali wa mhogo, Rembrandt Dar uhwsabu restaurants inazoweza kupata ugali huo, Kijiji cha Makumbusho wanapika lakini ni mpaka apate order na unachukua muda
Usingizi unakuhusu hapa si kwakuchapia hivi. ..ila nimekuelewa
 
Back
Top Bottom