Gaijin:
Kumbuka "mtoto wa mwenzio ni mwanao", pia timu ya kutoka Afrika hata kama si nchi yako bado ni timu ya waafrika wote.
Hili halipingiki. Remember Africa we have a different culture when it comes to familiy ties etc.
Tusifikiri kizungu na kuamua mambo ya waafrika.
Timu za Rugby na Cricket za Sauz ni world class!Wameanza kuwa na waafrika.
Naamini hata mpira wa Sauz usiwe wa blacks ,uwe wa rangi zote.
Naona weusi hatuko professional ,tunapenda ubishoo wa nywele tu kwenye spoti,rasta,kusuka etc.
Mwafrika ukisuka nywele unataka attention!