Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yan iyo ngoma unailinganisha na kaz ya mcheza mpira wa kichangan tabata .....toa kibamiaJamani sichoki kuusikiliza huu wimbo. Dimond hachoshi jamani kutizamwa. Na huyo Omarion jee kaua mbayaaa yani ana mzuka wa kucheza mpaka raha aisee. Beat imetulia mnoo yani ki ufupi inachezeka na kusikilizika kama ulivyokua Seduce me wa Aly Kiba. Biggggg upppp Dimond God bless you
acha tuu aiseee inasikitisha. Ndo maisha ya kitanzania full kuburnHata mimi nilitaka anzisha thread kuusifia mchana ila nkapoteZea wimbo mtamu sana chris beats ni hatari kagonga beat kali sana sema hawezi kosea maana ndiye alitengeneza pana ya tekno.
Omario kaua ana sauti hatari na wanavyocheza kwa video safi sana pia kaimba kiswahili kama mswahili halafu ile melody pale chorus inapo hang kile kibeat kila nikikaa nakisikia kichwa .
Any way big up diamond.
Ila jamani mziki bongo mgumu album imetoka haina hata week jana niko tegeta kwa ndevu naona wazee wa kuburn na kuweka nyimbo kwenye flash wanapiga ela nikasema utakuta alinunua mmoja then wakasambaziana na kuanza kuuza
Chrisbeats aliyetengeneza pana-teknohivi sio ya laizer ee
Kwakweli yule mwana kamaliza kila kituMimi Omarion ndio kanikosha
EeehKwakweli yule mwana kamaliza kila kitu
Eeh mzee baba ile kitambo sana naona imechafukaEeeh
Braza
Umeamua kubadilisha jezi eeh?
HahahaEeh mzee baba ile kitambo sana naona imechafuka
Bado wewe sijui baada ya miaka mingapi tuHahaha
Safi ni vema kubadilisha pia