African beauty ni bonge la wimbo

African beauty ni bonge la wimbo

Kalpana

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
32,603
Reaction score
62,269
Jamani sichoki kuusikiliza huu wimbo. Dimond hachoshi jamani kutizamwa. Na huyo Omarion jee kaua mbayaaa yani ana mzuka wa kucheza mpaka raha aisee. Beat imetulia mnoo yani ki ufupi inachezeka na kusikilizika. Biggggg upppp Dimond God bless you
 
Jamani sichoki kuusikiliza huu wimbo. Dimond hachoshi jamani kutizamwa. Na huyo Omarion jee kaua mbayaaa yani ana mzuka wa kucheza mpaka raha aisee. Beat imetulia mnoo yani ki ufupi inachezeka na kusikilizika kama ulivyokua Seduce me wa Aly Kiba. Biggggg upppp Dimond God bless you
yan iyo ngoma unailinganisha na kaz ya mcheza mpira wa kichangan tabata .....toa kibamia
 
Hapo ulipomtaja yule king without kingdom but kibamia kapaedit patakuletea shida baadae.

Omarion anajua sana yule mnyamwezi!
Ndo hapo tunaposema tunatofautiana mitazamo. wekeni u team pembeni
 
Hata mimi nilitaka anzisha thread kuusifia mchana ila nkapoteZea wimbo mtamu sana chris beats ni hatari kagonga beat kali sana sema hawezi kosea maana ndiye alitengeneza pana ya tekno.
Omario kaua ana sauti hatari na wanavyocheza kwa video safi sana pia kaimba kiswahili kama mswahili halafu ile melody pale chorus inapo hang kile kibeat kila nikikaa nakisikia kichwa .
Any way big up diamond.
Ila jamani mziki bongo mgumu album imetoka haina hata week jana niko tegeta kwa ndevu naona wazee wa kuburn na kuweka nyimbo kwenye flash wanapiga ela nikasema utakuta alinunua mmoja then wakasambaziana na kuanza kuuza
 
acha tuu aiseee inasikitisha. Ndo maisha ya kitanzania full kuburn
 
Ila IYENA itakuwa funga mwaka ,bonge moja la nyimbo litapigwa sana hasa kwenye masherehe,limekaa kiswazi swazi.
 
Back
Top Bottom