African Champions League Final: TP Mazembe Vs USMA - Nov 8, 2015

African Champions League Final: TP Mazembe Vs USMA - Nov 8, 2015

Watu8 tupe ile link ya mamtoni ndg yangu, hizi za youtube mizinguo tupu
 
TBC1 iombe radhi watanzania,wameniboa sana,wamepiga promo wiki,kuwa wataonyesha,alafu hawaonyesi na hawatoi taarifa,ni usumbufu wa hali ya juuu,wanashindwa kusema kumradhi hatuonyeshi...TV nazani waliopo wote watakua chini ya kiwango
 
Hivi nanyie mna TV ya kujivunia hapa tz?ni bora ukaangalia channel ya catoon kuliko tbc
 
Game imechangamka Sana. Waarabu wanajiangushaangusha sana.
52' 0-0
 
Dakika ya 59 bado bila bila.
Waarabu wametawala mpira. TP wanavizia counter attack .
 
Back
Top Bottom