African Champions League Final: TP Mazembe Vs USMA - Nov 8, 2015

African Champions League Final: TP Mazembe Vs USMA - Nov 8, 2015

Timu langu Kauzu Fc sijui lini litafikia pande izi!
 
Hawa warabu kwa mazembe wanakuwa kama wasomali tu lakini kwa timu zetu za kibongo huwa zinatota kweli.
 
Gooool!!! TP wanapata la pili
 
Hahahahah....waarabu wanatiwa hasira

Leo wamewezwa sana maana wamechezewa mind game mwanzo mwisho
 
Mpira umekwisha

Mazembe wanakuwa mabingwa wapya wa Afrika
 
Waarabu hoi kabisaaaa!!! hawana hamu na TP Mazembe
 
TP Mazembe ya DRC mabingwa wa Africa. Mbwana Samatta,mtanzania anayechezea TP Mazembe anachukua kiatu cha dhahabu. Hongera Samatta,Hongera Ulimwengu kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia soka.
 
Dah!
Najivunia sana hawa vijana wetu. Mbwana Samatta ndo top scorer au! Dah! Soooooooo proud!
 
Hongera sana kwa Samata na Ulimwengu. Mabalozi wetu kwenye michezo
 
TBC1 watuombe msamaha kwa kutudanganya.
 
Hawa warabu kwa mazembe wanakuwa kama wasomali tu lakini kwa timu zetu za kibongo huwa zinatota kweli.

Yaani kwa TP Mazembe waarabu hawajielewi kabisaaa, wanapoteana mbaya na kucheza mifaulo ya hovyo hovyo hadi inawakosti
 
Back
Top Bottom