barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Naiona bendera ya TANZANIA uwanjani, sijui Samatta sijui Ulimwengu, ila kuna mtu kaivaa, safi sana vijana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samatta mpigaji nzuri sana wa penati, nashangaa siku ile wakampa mwingine akapoteza ile penati ya kwanza
sio Africa Lyon?
Hawa warabu kwa mazembe wanakuwa kama wasomali tu lakini kwa timu zetu za kibongo huwa zinatota kweli.
Nani kutupia goli la pili mkuu?
Roger Assale 90+4'
Golden boot inaenda kwa Samatta?
Naiona bendera ya TANZANIA uwanjani, sijui Samatta sijui Ulimwengu, ila kuna mtu kaivaa, safi sana vijana!