African Champions League Final: TP Mazembe Vs USMA - Nov 8, 2015

African Champions League Final: TP Mazembe Vs USMA - Nov 8, 2015

Naiona bendera ya TANZANIA uwanjani, sijui Samatta sijui Ulimwengu, ila kuna mtu kaivaa, safi sana vijana!
 
Samatta mpigaji nzuri sana wa penati, nashangaa siku ile wakampa mwingine akapoteza ile penati ya kwanza

Siku ya leo ilikuwa lazima apige maana ndio nafasi pekee ya wazi ya kuongeza idadi ya magoli aliyokuwa nayo...
 
Congratulations to TP Mazembe, giving special kudos to Mbwana Ally Samatta and Thomas Ulimwengu. Let their success encourage and motivate the current and future crop of local players to dream for bigger and better goals other than playing for the local giants, Simba SC and Young Africans. Dream and aim high. My 2 cents.
 
Nasi inshallah ipo siku tutashangilia ubingwa nyumbani Tz Azam, Simba, Yanga kazeni buti......
 
Hatimaye Mazembe wanakabidhiwa ndoo yao...

Ni shamra shamra uwanja mzima
 
Kwa hiyo Samatta ktk FIFA club World Cup in Japan against the Legendary Lionel Messi if and only if wakikutana
 
Ni wakati wa Samanta kwenda kucheza soka ulaya sasa, afanye kila linalowezekana ndio mda wake huu,,... Hasa hasa pale kwetu kwa washika bunduki, sio vibaya akaenda kuungana na Sunchez, akamweka benchi Giroud.
 
Unauliza midevu ya mvi kwa Hashim Rungwe???haaa haa
 
Asanteni sana wakuu kwa updates zenu tumejihisi ni kama nasi tumeuona mpira huu please keep it up!
 
Samahani wakuu yepi ni matumizi sahihi ya neno legendary :gwiji la sasa au gwiji wa zama flaani zilizopita????
 
Back
Top Bottom