Kuna jamaa kama angeenda na Manzoki angepewa hiyo nafasi ya Hersi.
Hahahahahaha, dah watanzania halisiInasaidia nini? Haina impact yoyote ndo maana hata waliochaguliwa ni watu watu tu wa kawaida.
Mwenyekiti atoke Yanga
Makamu mwenyekiti Kaizer Chiefs
Makamu mwenyekiti wa pili Akwa United (Nigeria)
Taasisi gani ya mpira inaongozwa na watu wasio na hata kombe moja Africa.
Hakwenda kabisa yupo busy na timuKuna jamaa kama angeenda na Manzoki angepewa hiyo nafasi ya Hersi.
Hiki cheo ni matokeo ya safari ya Motsepe Dodoma usiku wa mananeHii ni mbinu mfu sana; kuua soka la Tanzania. Wamempa majukumu makubwa ili awe na muda mchache wa Yanga
Ukiona mbunge anapiga sana kelele, Mpe Uwaziri wa wizara ngumu. Kwenye ubunge atanyamaza
Imeisha hiyo
Umeandika kwa uchungu na wivu mkubwa mno... anyway muulize Try Ageni au Mangungu wanajua umuhimu wa hiyo taasisi, maana Simba SC pia ni mwanachama...Inasaidia nini? Haina impact yoyote ndo maana hata waliochaguliwa ni watu watu tu wa kawaida.
Mwenyekiti atoke Yanga
Makamu mwenyekiti Kaizer Chiefs
Makamu mwenyekiti wa pili Akwa United (Nigeria)
Taasisi gani serious ya mpira inaongozwa na watu wasio na hata kombe moja Africa ili mradi vu-lulu-vululu tu
Huo uongo unaokoteza wapi,Try again yupo Botswana na timu,Umeandika kwa uchungu na wivu mkubwa mno... anyway muulize Try Ageni au Mangungu wanajua umuhimu wa hiyo taasisi, maana Simba SC pia ni mwanachama...
Aidha Boss wa Simba alikuwepo ktk mkutano wa hiyo taasisi na alimchagua Rais wa Yanga awaongoze..
Hakika mawazo ya Ndg Rage yanaishi.
Rageeee ...Guvu Moyaaa [emoji41]
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Ukiona hivyo Manzoki amebanwa na shughuli.
Kama unajua unajua tuu. Kwani ni faida kwa Yanga na kwake pia,anatengeneza experience, network ambayo inaweza kuisaidia club ya Yanga ikitaka kusajili mchezaji kutoka club nyingine, sababu tayari ana mahusiano ya karibu na viongozi wa club nyingine.Hii ni mbinu mfu sana; kuua soka la Tanzania. Wamempa majukumu makubwa ili awe na muda mchache wa Yanga
Ukiona mbunge anapiga sana kelele, Mpe Uwaziri wa wizara ngumu. Kwenye ubunge atanyamaza
Imeisha hiyo
Mbu mbu mbu ni ww na nyanya akoKweli nimeamini sisi watanzania ni mambumbumbu
Yani wewe mleta mada ni mtu wa ovyo sijawahi kuona,acha unazi wa kishamba kweli nimeamini wengi waliyepo jamii forum hawajielewi
Na inashangaza platform kubwa kama hii ina watu kama ya hawa mleta mada,broo ungesoma kidogo ungejielewa maana ulichoandika hapa ni pumba tu
Itakuwa faida kwa yanga itamfanya awe na link kubwa na popote Kwenye mchezaji wa kuivusha yanga atatumia advantage kumvuta .Hii ni mbinu mfu sana; kuua soka la Tanzania. Wamempa majukumu makubwa ili awe na muda mchache wa Yanga
Ukiona mbunge anapiga sana kelele, Mpe Uwaziri wa wizara ngumu. Kwenye ubunge atanyamaza
Imeisha hiyo
Wanywa supu wameandaa tafrija kuuubwa kumpongeza Rais wao,wataua ng'ombe 10 kusherehekea ushindi huo mnono wa Hersi.Inasaidia nini? Haina impact yoyote ndo maana hata waliochaguliwa ni watu watu tu wa kawaida.
Mwenyekiti atoke Yanga
Makamu mwenyekiti Kaizer Chiefs
Makamu mwenyekiti wa pili Akwa United (Nigeria)
Taasisi gani serious ya mpira inaongozwa na watu wasio na hata kombe moja Africa ili mradi vu-lulu-vululu tu
Unaona tena??Mbu mbu mbu ni ww na nyanya ako
Mola huyo huyo amenipa nguvu yaku kukemea Lugha gani hiyo ya matusi? Kutukana Watanzani ni mbu mbu mbubsio matusi? Nyanya yako ni mbu mbu mbu?Unaona tena??
Mwanaume wakweli hatumii lugha ya matusi,Bali hutumia busara alizopewa na mwenyenzi MUNGU