African Clubs Association, taasisi isiyo na umuhimu wowote

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Inasaidia nini? Haina impact yoyote ndo maana hata waliochaguliwa ni watu watu tu wa kawaida.

Mwenyekiti atoke Yanga
Makamu mwenyekiti Kaizer Chiefs
Makamu mwenyekiti wa pili Akwa United (Nigeria)

Taasisi gani serious ya mpira inaongozwa na watu wasio na hata kombe moja Africa ili mradi vu-lulu-vululu tu
 
Kuna jamaa kama angeenda na Manzoki angepewa hiyo nafasi ya Hersi.

Hii ni mbinu mfu sana; kuua soka la Tanzania. Wamempa majukumu makubwa ili awe na muda mchache wa Yanga

Ukiona mbunge anapiga sana kelele, Mpe Uwaziri wa wizara ngumu. Kwenye ubunge atanyamaza

Imeisha hiyo
 
Inasaidia nini? Haina impact yoyote ndo maana hata waliochaguliwa ni watu watu tu wa kawaida.

Mwenyekiti atoke Yanga
Makamu mwenyekiti Kaizer Chiefs
Makamu mwenyekiti wa pili Akwa United (Nigeria)

Taasisi gani ya mpira inaongozwa na watu wasio na hata kombe moja Africa.
Hahahahahaha, dah watanzania halisi
 
Hii ni mbinu mfu sana; kuua soka la Tanzania. Wamempa majukumu makubwa ili awe na muda mchache wa Yanga

Ukiona mbunge anapiga sana kelele, Mpe Uwaziri wa wizara ngumu. Kwenye ubunge atanyamaza

Imeisha hiyo
Hiki cheo ni matokeo ya safari ya Motsepe Dodoma usiku wa manane
 
Inasaidia nini? Haina impact yoyote ndo maana hata waliochaguliwa ni watu watu tu wa kawaida.

Mwenyekiti atoke Yanga
Makamu mwenyekiti Kaizer Chiefs
Makamu mwenyekiti wa pili Akwa United (Nigeria)

Taasisi gani serious ya mpira inaongozwa na watu wasio na hata kombe moja Africa ili mradi vu-lulu-vululu tu
Umeandika kwa uchungu na wivu mkubwa mno... anyway muulize Try Ageni au Mangungu wanajua umuhimu wa hiyo taasisi, maana Simba SC pia ni mwanachama...

Aidha Boss wa Simba alikuwepo ktk mkutano wa hiyo taasisi na alimchagua Rais wa Yanga awaongoze..

Hakika mawazo ya Ndg Rage yanaishi.
Rageeee ...Guvu Moyaaa [emoji41]

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Huo uongo unaokoteza wapi,Try again yupo Botswana na timu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli nimeamini sisi watanzania ni mambumbumbu
Yani wewe mleta mada ni mtu wa ovyo sijawahi kuona,acha unazi wa kishamba kweli nimeamini wengi waliyepo jamii forum hawajielewi

Na inashangaza platform kubwa kama hii ina watu kama ya hawa mleta mada,broo ungesoma kidogo ungejielewa maana ulichoandika hapa ni pumba tu
 
Hii ni mbinu mfu sana; kuua soka la Tanzania. Wamempa majukumu makubwa ili awe na muda mchache wa Yanga

Ukiona mbunge anapiga sana kelele, Mpe Uwaziri wa wizara ngumu. Kwenye ubunge atanyamaza

Imeisha hiyo
Kama unajua unajua tuu. Kwani ni faida kwa Yanga na kwake pia,anatengeneza experience, network ambayo inaweza kuisaidia club ya Yanga ikitaka kusajili mchezaji kutoka club nyingine, sababu tayari ana mahusiano ya karibu na viongozi wa club nyingine.
 
Kweli nimeamini sisi watanzania ni mambumbumbu
Yani wewe mleta mada ni mtu wa ovyo sijawahi kuona,acha unazi wa kishamba kweli nimeamini wengi waliyepo jamii forum hawajielewi

Na inashangaza platform kubwa kama hii ina watu kama ya hawa mleta mada,broo ungesoma kidogo ungejielewa maana ulichoandika hapa ni pumba tu
Mbu mbu mbu ni ww na nyanya ako
 
Hii ni mbinu mfu sana; kuua soka la Tanzania. Wamempa majukumu makubwa ili awe na muda mchache wa Yanga

Ukiona mbunge anapiga sana kelele, Mpe Uwaziri wa wizara ngumu. Kwenye ubunge atanyamaza

Imeisha hiyo
Itakuwa faida kwa yanga itamfanya awe na link kubwa na popote Kwenye mchezaji wa kuivusha yanga atatumia advantage kumvuta .
 
Inasaidia nini? Haina impact yoyote ndo maana hata waliochaguliwa ni watu watu tu wa kawaida.

Mwenyekiti atoke Yanga
Makamu mwenyekiti Kaizer Chiefs
Makamu mwenyekiti wa pili Akwa United (Nigeria)

Taasisi gani serious ya mpira inaongozwa na watu wasio na hata kombe moja Africa ili mradi vu-lulu-vululu tu
Wanywa supu wameandaa tafrija kuuubwa kumpongeza Rais wao,wataua ng'ombe 10 kusherehekea ushindi huo mnono wa Hersi.
 
Back
Top Bottom