Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
- Thread starter
-
- #141
mpira umeisha na angola wametolewa
na waarab wanatabiri kombe wanalibeba wao kama si misri ni tunisia
haya kazi hiyo tusubiri mlimbwende uliobakia
[COLOR="Navy" said:Mzalendohalisi;135096]Kwa mpira huu basi Maximo ana kibarua kigumu!
Wachezaji wetu sijui ni ulevi wa pombe na wanawake au sijui ni nini!![/COLOR]
Wakati nikiendelea kusubiri matokeo nimeona bora niongeze kitu hapa.na jengine hulewa misifa mape,a na kuwa watovu wa nidhamu
maana wangekuwa wachezaji nnazani hapo bongo pasingekalika
angalia wazanzibar huwa na adabu popote pale na nidhamu ni sehemu ya kupandisha kiwango
leo wachezaji hawaheshimu walimu wao, wao wajuaji kuliko walimu wao.
wakiambiwa kambi inaanza jumatatu wao huja baada ya wiki wengine huenda wamelewa.
kazi tena si ndogo sikwambii wakenda mahotelini huko nje kazi kuvamia mimalaya bila ya kujali kuwa wameenda kushindana,