African Cup of Nations 2008

African Cup of Nations 2008

CJUI Mangapi yatatinga yale aliyonena senator lazima yatimie leo..waarabu wapungue tu tushuhudie semi nyingine nzuri ya Ghana na Cameroon...ghana wanaomba kweli wakutane na Tunisia wanaogopa mziki wa Cameroon
 
Kameroon wanacheza sana- sema nao Tunisia sasa wamecharuka na wanajituma! Hadi dk 45 Tunisia 1 Cameroon 2
 
kipindi cha kwanza kimeisha

lkn dakikaa mwisho tunisia walikuwa wakali ajabu.

mpira ni mgumu kujua nn kitafuatia
 
Duuu, anything can happen now, lakini sitashangaa hii game ikiamuliwa kwa matuta sasa.
 
Niliongelea fitness ya waarabu wakati wa game ya Egypt na Angola na naamini pia hapa hii factor itakua decisive, wakameruni wanaonekana wamechoka wakati waarabu ndio kwanza wanaamka. Sitashangaa kama indomitable lions watatumia muda mwingi wa extra time wakicheza defensively ili tu wafike kwenye matuta kwa kuwa wana kipa mzuri.
 
NUSU FAINALI
GHANA V CAMEROON (Cameroon to win)
IVORY COAST V EGYPT (Hii ndo fainali, atakaeshinda hii game ndio mshindi wa AFCON 08)
 
NUSU FAINALI
GHANA V CAMEROON (Cameroon to win)
IVORY COAST V EGYPT (Hii ndo fainali, atakaeshinda hii game ndio mshindi wa AFCON 08)

Hapo kwa misri na Ivory naona Ivory watashinda so itakuwa Final ya Ivory Coast na Cameroon...nitatoa majibu nani bingwa kwa mabao mangapi wakiingia Final
 
jana mpira wa tunis na cameroun ulikuwa mkali kinoma.

na ilibidi dakika 120 ndio ziamue mshindi.


hatimaye cameroun 3 na tunis 2
 
Nations Cup roll of honour

Year - Winner- Score- Runner-up - Host
1957 Egypt 4-0 Ethiopia (Sudan)
1959 Egypt 2-1 Sudan (Egypt)
1962 Ethiopia 4-2 Egypt (Ethiopia)
1963 Ghana 3-0 Sudan (Ghana)
1965 Ghana 3-2 Tunisia (Tunisia)
1968 Congo-Kinshasa 1-0 Ghana (Ethiopia)
1970 Sudan 1-0 Ghana (Sudan)
1972 Congo-Brazzaville 3-2 Mali (Cameroon)
1974 Zaire 2-0 Zambia (Egypt)
1976 Morocco ** (Ethiopia)
1978 Ghana 2-0 Uganda (Ghana)
1980 Nigeria 3-0 Algeria (Nigeria)
1982 Ghana 1-1 Libya
7-6 pens (Libya)
1984 Cameroon 3-1 Nigeria (Ivory Coast)
1986 Egypt 0-0 Cameroon
5-4 pens (Egypt)
1988 Cameroon 1-0 Nigeria (Morocco)
1990 Algeria 1-0 Nigeria (Algeria)
1992 Ivory Coast 0-0 Ghana
11-10 pens (Senegal)
1994 Nigeria 2-1 Zambia (Tunisia)
1996 South Africa 2-0 Tunisia (South Africa)
1998 Egypt 2-0 South Africa (Burkina Faso)
2000 Cameroon 2-2 Nigeria
4-3 pens (Ghana/Nigeria)
2002 Cameroon 0-0 Senegal
3-2 pens (Mali)
2004 Tunisia 2-1 Morocco (Tunisia)
2006 Egypt 0-0 Ivory Coast
4-2 pens (Egypt)

--------------------------------------------------------------------------------
**Morocco crowned champions after group stage


--------------------------------------------------------------------------------

The winning coaches

1957 - Mourad Fahmy (Egypt)
1959 - Josef Titkos (Hungary)
1962 - Milosevic (Yugoslavia)
1963 - Charles Gyamfi (Ghana)
1965 - Charles Gyamfi (Ghana)
1968 - Ferenc Csandai (Hungary)
1970 - Jiri Starosta (Czechoslavkia)
1972 - Amoyan Bibanzulu (Congo)
1974 - Blagoje Vidinic (Yugoslavia)
1976 - Gheorghe Mardarescu (Romania)
1978 - Fred Osam Doudou (Ghana)
1980 - Otto Gloria (Brazil)
1982 - Charles Gyamfi (Ghana)
1984 - Rade Ognanovic (Yugoslavia)
1986 - Mike Smith (Wales)
1988 - Claude LeRoy (France)
1990 - Abdelhamid Kermali (Algeria)
1992 - Martial Yeo (Ivory Coast)
1994 - Clemens Westerhof (Netherlands)
1996 - Clive Barker (South Africa)
1998 - Mahamoud Al Gohari (Egypt)
2000 - Pierre Lechantre (France)
2002 - Winfried Schafer (Germany)
2004 - Roger Lemerre (France)
2006 - Hassan Shehata (Egypt)

Source: bbc.co.uk
 
Africa Cup of Nations records

Most titles won: 5
Egypt: 1957, 1959, 1986, 1998, 2006

Most appearances at the finals: Egypt (21)
1957, 1959, 1962, 1963, 1970, 1974, 1976, 1980, 1984, 1986, 1988, 1990, 1992, 1994, 1996, 1998, 2000, 2002, 2004, 2006

Most appearances in a final: Ghana (7)
1963, 1965, 1968, 1970, 1978, 1982, 1992

Most matches played in the finals: Egypt (77)

Most wins in the finals: Egypt (40) Most goals in the finals: Egypt (121)

Most Nations Cup appearances by a player:
Rigobert Song - Cameroon (7)
1996, 1998, 2000, 2002, 2004, 2006, 2008

Alain Gouamene - Ivory Coast (7)
1988, 1990, 1992, 1994, 1996, 1998, 2000

Cameroon's Rigobert Song will play in his seventh finals in Ghana

Most matches played:
Rigobert Song - Cameroon - 27 games played over 7 finals

Most appearances in the final: 4
Ali El Fanageeli - Egypt: 1957, 1959, 1962
Cecil Jones Attaquayefio - Ghana: 1965, 1968, 1970
Charles Addo Odametey - Ghana: 1963, 1965, 1968
Roger Milla - Cameroon: 1984, 1986, 1988

Most goals in the finals:
Laurent Pokou of the Ivory Coast scored 14 in two tournaments - 1968 & 1970

Most goals scored in a single tournament:
Mulumba Ndaye of Zaire scored 9 goals in 1974

Most goals scored by an individual in one match:
Laurent Pokou scored five goals as the Ivory Coast beat Ethiopia 6-1 in the 1970 edition

Fastest ever goal: Ayman Mansour, Egypt (23 seconds)

Most goals scored in one match: 9
Egypt 6-3 Nigeria, 1963

Most goals in a single tournament: 54
Egypt 1974, under the old eight-team system

Tournament with most goals scored:
Burkina Faso 1998 produced 93 goals in 32 games

Egypt's Mahmoud El-Gohary won the Nations Cup as player and coach

Highest winning margin: 5
Ivory Coast 6-1 Ethiopia 1970

Youngest ever player:
Chiva Star Nzighou (Gabon)-16 years, two months, 30 days at the 2000 finals

Most performances by a referee in the finals: 6
Tesfaye Gebreyesus (Ethiopia/Eritrea)
1970, 1974, 1978, 1980, 1984, 1986

Nations Cup winner as player and coach:
Mahmoud El-Gohary of Egypt in 1959 and 1998

Most Nations Cup wins by a coach: 3
Charles Gyamfi of Ghana won in 1963, 1965 & 1982

Source:bbc.co.uk
 
naam leo ni ile Alkhamis tulio tukiisubiri na sasa mpira umeanza kati ya cameroun na Ghana na hadi sasa dakika kumi tayari mambo draw tunaendelea
 
Nahisi hii ngoma ya Ghana v Cameroon itaenda kwenye matuta, na leo ndio mwisho wa safari wa mwenyeji kama nilivyotabiri!
 
3 minutes to go.Cameroonians are down to 10 men now, Bikey sent off, a silly sending off and now he is going to miss the final!
 
Thats it! The indomitable lions are into the final, 1-0 final score.
 
Maskini Ghana- hawakuwa tu na bahati walicheza vizuri! Poleni Ghana hadi tena 2010!

Nadhani Kule Duala, Yaonde, Kumba sasa watu wanashangilia tu!
 
Back
Top Bottom