African Development Bank yaidhinisha mkopo wa zaidi ya trilioni 1.4 kujenga reli itakayounganisha Burundi na Tanzania

Change ya wazee ngapi hapo?
 
Ile ya Makutupora Isaka CAG amesema kuna wezi mkubwa wa kutisha bei imeongezwa mara dufu na Mafisadi wa CCM
 
Upande wa Tanzania Kuna Bandari tayari kubwa tuu ila DR kule hakuna.

Hata ikijengwa labda kuwe na Barabara ya Kuunganisha kwenye Miji mikubwa kinyume na hapo mnatakiwa kuelewa hakuna Mji wowote mkubwa upande wa DRC ulioko Kando ya Ziwa,ni Vijijini vitupu.
 
Hii sgr labda Mungu atende muujiza. Au ile route ya burundi inalenga mzigo toka kwenye mgodi wa burundi.

Zaidi ya hapo, sgr itawabeba waha kama kawaida 🤣
 
Ile ya Isaka kigali CAG amesema kuna wezi mkubwa wa kutisha bei imeongezwa mara dufu na Mafisadi wa CCM
EEEeeHEeee, Kagame hawezi kukubali ujinga huo. Ndiyo maana alitaka aunganishe na Mombasa, badala ya Dar!

Lakini Jiografia kwa bahati mbaya sana siyo rafiki kwake.

Kungetokea muujiza hivi, angeteka eneo lote la Kaskazini aiunganishe Kigali na Mombasa. Hiyo ingekuwa nafuu sana kwake.
 
Rwanda ingeachana na Isaka badala yake akachukulie huko kipande cha Malagarasi-Musongati ni karibu.
Ni kweli ila Sasa ugomvi wa Kisiasa wa Burundi na Rwanda ulikita mizizi ya ukabila unafanya iwe ngumu Kwa sababu wakizinguana Burundi anazuia reli hapo ndipo shida inajitokeza.

Ila hii ni shortest route kuliko ya Keza.
 
Ndio manake na walishapata mkandarasi wa kuchimba hayo Madini,maana deposits iliyopo hapo Burundi ni second Kwa Wingi Duniani.
Na hapo inatakiwa Tanzania wawe na usimamizi mzuri. Amasivyo hiyo kazi watawapa watu wa malori. Wakiendeleza ubabaishaji basi hiyo sgr itakufa mapema kama kawaida 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…