Change ya wazee ngapi hapo?Dar es Salaam. Benki ya Maendeleo ya Afrika imeidhinisha kifurushi cha ufadhili cha dola milioni 696.41 kwa Burundi na Tanzania ili kuanza Awamu ya Pili ya mradi wa Reli ya Pamoja ya Tanzania-Burundi- DR Congo Standard Gauge (SGR).
Awamu hii itashuhudia ujenzi wa kilomita 651 za reli ya njia moja inayotumia umeme, kuunganisha Burundi na mtandao