The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Leo au mara zote Huwa naandika ukweli?Leo kwa mara ya kwanza umeandika ukweli.
Huyo mama Yako amefanya nini labda? Ndio alianzisha hii road map ya kujenga reli?Mimi nina matumaini.
Naamini tumefikia ukingoni mwa ndoto hii mbaya ya CCM. Tutaanza ukurasa mpya; hata kama itakuwa ni chini ya CCM iliyojibadilisha; siyo hii iliyo chini ya huyu mama.
Siioni CCM hii ikidumu hata kidogo.
Kwani kazi ya reli ni kuja kuondoa biashara nyingine au ku compliment? Ficha ujingaItarudi mkitoa mikokoteni yenu njiani, itapunguza ajali pia.
Akupongeze nani na Kwa lipi wakati Huan hata hesabu ya Kodi unayolipa Kwa mwaka.Ninaelipa ndio nastahili pongezi, huyo mkojani amepewa tu dhamana ya kuwakilisha walipa kodi.
Kila mtu anabeba mzigo wakeKUna faida gani sisi kukupeshwa, kwanini tusikope pamoja na burudi, ili kushare deni?
Wewe ni takataka mwenye harufu mbaya. Sina sababu ya kujihusisha na takataka.Huyo mama Yako amefanya nini labda? Ndio alianzisha hii road map ya kujenga reli?
Wewe umejaza mavi na makamasi kichwaniWewe ni takataka mwenye harufu mbaya. Sina sababu ya kujihusisha na takataka.
Imekaa poaDar es Salaam. Benki ya Maendeleo ya Afrika imeidhinisha kifurushi cha ufadhili cha dola milioni 696.41 kwa Burundi na Tanzania ili kuanza Awamu ya Pili ya mradi wa Reli ya Pamoja ya Tanzania-Burundi- DR Congo Standard Gauge (SGR).
Awamu hii itashuhudia ujenzi wa kilomita 651 za reli ya njia moja inayotumia umeme, kuunganisha Burundi na mtandao uliopo wa Tanzania na hatimaye bandari ya Dar es Salaam.
Mradi umegawanywa katika sehemu tatu: Tabora-Kigoma (kilomita 411) na Uvinza-Malagarasi (kilomita 156) nchini Tanzania, na Malagarasi-Musongati (kilomita 84) nchini Burundi.
Hii itaunganisha Burundi moja kwa moja na bandari ya Dar es Salaam, na kufungua fursa mpya kwa sekta yake ya madini na kilimo.
Ahadi ya AfDB ni pamoja na $98.62 milioni kama ruzuku kwa Burundi na $597.79 milioni kama mikopo na dhamana kwa Tanzania.
Zaidi ya hayo, Benki itafanya kazi kama Mpangaji Mkuu wa Mamlaka ya Awali (IMLA), ikikusanya hadi dola bilioni 3.2 kutoka kwa benki za biashara, Taasisi za Kifedha za Maendeleo (DFIs), Wakala wa Mikopo ya Mauzo ya Nje (ECAs), na wawekezaji wa taasisi. Gharama ya jumla ya mradi inakadiriwa kuwa karibu dola bilioni 3.93.
Mradi huu kabambe unatarajiwa kuwa na matokeo ya mageuzi katika ukanda huu. Upatikanaji wa huduma ya usafiri wa masafa marefu yenye ufanisi na yenye gharama nafuu itachochea uchimbaji mkubwa wa madini na kilimo cha kibiashara, hasa nchini Burundi pamoja na amana zake kubwa za nikeli.
Mradi huu unaendana na mikakati kadhaa muhimu ya maendeleo, ikiwa ni pamoja na Mpango Mkuu wa Reli wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Mpango wa Umoja wa Afrika wa Maendeleo ya Miundombinu Barani Afrika (PIDA), na vipaumbele vya Benki yenyewe vya "High 5" na "Integrate Africa".
Pia inaendana na Waraka wa Mkakati wa Benki katika Kanda ya Afrika Mashariki na Hati zake za Mkakati wa Nchi kwa Tanzania na Burundi.
View attachment 2841405
Source: The Citizen Tanzania
For more info read: AfDB approves $696 million for joint Tanzania-Burundi SGR
Mbona tulishatoka kwenye mambo hayo siku nyingi, hukumbuki? Unataka tena turudie yale yale tuliyokwisha yamaliza?Wewe umejaza mavi na makamasi kichwani
Wewe Bado hujatoka 🗑️🗑️Mbona tulishatoka kwenye mambo hayo siku nyingi, hukumbuki? Unataka tena turudie yale yale tuliyokwisha yamaliza?
Kwani Isaka / kigali iliishia kwenye makaratasi?
Hapana, mizigo ya Burundi, kama habari ilivyo eleza nipamoja na hayo madini ya nickel; na zaidi ni hiyo habari ya kuifikisha hiyo reli DRC.
Shida tu kubwa ni hii Bandari yetu finyu. Ni muhimu Bagamoyo iwekewe mkazo zaidi.
Ni kweli mkuu 'julguy' kuhusu uliyo andika hapa, lakini hiyo kamwe haiwezi kuwa sababu ya kuzuia ujenzi wa reli kuelekea huko.Rwanda haina mahusiano mazuri na congo ,hasa upande wa magharibi mwa ziwa kivu,na majinbo ya kivu,Goma! Ambapo hakuna usalama na Kuna makundi mengi ya waasi yenye siraha Kali