Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Itarudi mkitoa mikokoteni yenu njiani, itapunguza ajali pia.Hiyo Reli kweli itarudisha fedha kweli? Burundi mizigo yake ni kidogo sana.
Mizigo ya Rwanda ni mingi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itarudi mkitoa mikokoteni yenu njiani, itapunguza ajali pia.Hiyo Reli kweli itarudisha fedha kweli? Burundi mizigo yake ni kidogo sana.
Mizigo ya Rwanda ni mingi sana.
Huyo bibi hizo pesa anazirudisha kwa mshahara wake?Sasa kwani ni pesa za nani? Au umeona ni msaada huo ? Ama Mbowe katafuta?
Kupitia diplomasia ya Uchumi na Kupitia kuaminika kwake ndio maana Tanzania imepewa pesa hiyo baada ya kuwa rated vizuri.Huyo bibi hizo pesa anazirudisha kwa mshahara wake?
Wanaichukua upande wa Tz ila huko mpakani.Ni kweli ila Sasa ugomvi wa Kisiasa wa Burundi na Rwanda ulikita mizizi ya ukabila unafanya iwe ngumu Kwa sababu wakizinguana Burundi anazuia reli hapo ndipo shida inajitokeza.
Ila hii ni shortest route kuliko ya Keza.
Labda ipelekwe hadi Goma na KisanganiHiyo Reli kweli itarudisha fedha kweli? Burundi mizigo yake ni kidogo sana.
Mizigo ya Rwanda ni mingi sana.
Sasa kwani wewe huoni Ramani hapo Juu kwamba zitafikka huko?Labda ipelekwe hadi Goma na Kisangani
Ninaelipa ndio nastahili pongezi, huyo mkojani amepewa tu dhamana ya kuwakilisha walipa kodi.Kupitia diplomasia ya Uchumi na Kupitia kuaminika kwake ndio maana Tanzania imepewa pesa hiyo baada ya kuwa rated vizuri.
Kazi ya Uongozi wa Samia na utazirudiaha wewe Kwa Kodi ila sifa ni za Samia,sawa bwashee?
Najua kama angekuwa ni Kagame shilingi moja isingeibiwa na wapigaji wangeozea ndani.EEEeeHEeee, Kagame hawezi kukubali ujinga huo. Ndiyo maana alitaka aunganishe na Mombasa, badala ya Dar!
Tukale wapi au na sisi tuanzishe UMAYI MAYI.Itarudi mkitoa mikokoteni yeni njiani, itapunguza ajali pia.
Dar es Salaam. Benki ya Maendeleo ya Afrika imeidhinisha kifurushi cha ufadhili cha dola milioni 696.41 kwa Burundi na Tanzania ili kuanza Awamu ya Pili ya mradi wa Reli ya Pamoja ya Tanzania-Burundi- DR Congo Standard Gauge (SGR).
Awamu hii itashuhudia ujenzi wa kilomita 651 za reli ya njia moja inayotumia umeme, kuunganisha Burundi na mtandao uliopo wa Tanzania na hatimaye bandari ya Dar es Salaam.
Mradi umegawanywa katika sehemu tatu: Tabora-Kigoma (kilomita 411) na Uvinza-Malagarasi (kilomita 156) nchini Tanzania, na Malagarasi-Musongati (kilomita 84) nchini Burundi.
Hii itaunganisha Burundi moja kwa moja na bandari ya Dar es Salaam, na kufungua fursa mpya kwa sekta yake ya madini na kilimo.
Ahadi ya AfDB ni pamoja na $98.62 milioni kama ruzuku kwa Burundi na $597.79 milioni kama mikopo na dhamana kwa Tanzania.
Zaidi ya hayo, Benki itafanya kazi kama Mpangaji Mkuu wa Mamlaka ya Awali (IMLA), ikikusanya hadi dola bilioni 3.2 kutoka kwa benki za biashara, Taasisi za Kifedha za Maendeleo (DFIs), Wakala wa Mikopo ya Mauzo ya Nje (ECAs), na wawekezaji wa taasisi. Gharama ya jumla ya mradi inakadiriwa kuwa karibu dola bilioni 3.93.
Mradi huu kabambe unatarajiwa kuwa na matokeo ya mageuzi katika ukanda huu. Upatikanaji wa huduma ya usafiri wa masafa marefu yenye ufanisi na yenye gharama nafuu itachochea uchimbaji mkubwa wa madini na kilimo cha kibiashara, hasa nchini Burundi pamoja na amana zake kubwa za nikeli.
Mradi huu unaendana na mikakati kadhaa muhimu ya maendeleo, ikiwa ni pamoja na Mpango Mkuu wa Reli wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Mpango wa Umoja wa Afrika wa Maendeleo ya Miundombinu Barani Afrika (PIDA), na vipaumbele vya Benki yenyewe vya "High 5" na "Integrate Africa".
Pia inaendana na Waraka wa Mkakati wa Benki katika Kanda ya Afrika Mashariki na Hati zake za Mkakati wa Nchi kwa Tanzania na Burundi.
View attachment 2841405
Source: The Citizen Tanzania
For more info read: AfDB approves $696 million for joint Tanzania-Burundi SGR
Tatizo wewe HUNA hoja ya kupinga hoja hii kiuchumi. Kuwaonyesha hawa wenye mashaka jinsi gani reli itakuwa na manufaa.Pingapinga FC katika ubora wenu
Kamwe pesa haitarudi. Mkopo utalipwa kutoka kwenye kodi za mishahara ya wafanyakazi na biashara zinazokamliwa kila siku na TRA. Ikishindikana wataenda kukopa WB, halafu wanaenda kulipa Africa Development Bank.Hiyo Reli kweli itarudisha fedha kweli? Burundi mizigo yake ni kidogo sana.
Mizigo ya Rwanda ni mingi sana.
Hiyo reli ikikamilika itakuwa gunia la misumali.Subirieni mda utasema uzuri next year Inaanza oparesheni.
Ni mkopo kwa nchi toka bank ya Africa. Mbowe sio nchi au kiongozi aliye madarakani, atatafutaje mkopo mkubwa hivyo?Sasa kwani ni pesa za nani? Au umeona ni msaada huo ? Ama Mbowe katafuta?
Mimi nina matumaini.Leo kwa mara ya kwanza umeandika ukweli.
ni moja wapo ya njia ya kuifikia DrcReturn on investment ya hii reli hata mimi inanitia mashaka. Labda itoboe ifike DRC Congo
Meli Tunajenga Tanzania na kazi ya ujenzi wa meli Mpya inaendelea na ukarabati wa meli za zamani unaendelea pia.Hata inayoenda katavi. Hiyo ya katavi ni inahitaji meli mpya ya mizigo. Halafu inabidi pawe na bandari kubwa kwenye ziwa Tanganyika upande wa Tanzania na upande wa Congo. Halafu pawe na Barabara nzuri au reli upande wa congo toka bandari ya ziwa Tanganyika mpaka mashariki au kule kusini kwenye migodi ya congo. Ila hapo kwenye meli, bandari na Barabara/reli Drc ni Changamoto
I concur with you bro.Mimi nina matumaini.
Naamini tumefikia ukingoni mwa ndoto hii mbaya ya CCM. Tutaanza ukurasa mpya; hata kama itakuwa ni chini ya CCM iliyojibadilisha; siyo hii iliyo chini ya huyu mama.
Siioni CCM hii ikidumu hata kidogo.