African facts zone: hizi ni timu zenye mashabiki wengi Africa Yanga ya pili

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
[emoji599] TIMU ZENYE MASHABIKI WENGI AFRIKA

Al ahly.............70million fans

Young Africans..35million fans

Zamalek.......... 30 million fans

Laizer chief .......16million fans

Asec mimosa......15milion fans

Asante kotoko.....10 million fans

Simba ..........10milion fans
Source: African facts zone

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Real Madrid na Barcelona zinazotajwa kuwa na mashabiki wengi ndio timu ambazo kwenye social media zinaongoza kwa idadi kubwa ya followers.

Lakini hiki chanzo chako kimekuja kuonesha tofauti kuwa Club inayoongoza kwa idadi kubwa ya followers ndio timu ndogo kabisa kwa idadi ya mashabiki dhidi ya timu yenye followers wachache.

Chanzo chako hakijaeleza kimetumia formula gani kupata hiyo idadi ya mashabiki kwasababu katika hali ya uhalisia ukasema utoe takwimu nje ya followers basi inabidi ifanyike sensa ya mtaa kwa mtaa.

Labda watuambie hiyo sensa ilifanyika lini na kwanini mtaani kwetu hawajapita?
 
Ndio hivyo mkuu... tukubali tu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ndio hivyo mkuu... tukubali tu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hujajib hoja yake mana huna akili za kujibu labda usaidiwe na majini,
Iweje timu yenye followers wengi kwenye social networks kubwa iwe ya mwisho..

Ushabiki maandazi. Simba itakuepo milele daima utakufa utaiacha , and you will carry your hate to your grave.
 
Poleni sana makolowizadi aka robo robo fc. Huku kwenye nbc nako tumewapiga gape ya 10.
 
Hizi takwimu sijatoa Mimi mkuu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wametumia kigezo gani?

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…