African facts zone: hizi ni timu zenye mashabiki wengi Africa Yanga ya pili

African facts zone: hizi ni timu zenye mashabiki wengi Africa Yanga ya pili

Basi kama ni hivyo unaweza kusema kuwa Yanga ina mashabiki wengi kuliko hata Madrid kwa kigezo hicho hicho

Ndio maana nimeuliza imetumika formula gani kupata hiyo idadi??

Bado sijajibiwa hilo swali
Haji Manara ana followers wengi kuliko simba kwaiyo Manara ana mashabiki kuliko simba.
Mbumbumbu akili mliziweka wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji599] TIMU ZENYE MASHABIKI WENGI AFRIKA

Al ahly.............70million fans

Young Africans..35million fans

Zamalek.......... 30 million fans

Laizer chief .......16million fans

Asec mimosa......15milion fans

Asante kotoko.....10 million fans

Simba ..........10milion fans
Source: African facts zoneView attachment 2905925

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Umeamua kujifulahisha madunduga FC aka vyula FC
 
Real Madrid na Barcelona zinazotajwa kuwa na mashabiki wengi ndio timu ambazo kwenye social media zinaongoza kwa idadi kubwa ya followers.

Lakini hiki chanzo chako kimekuja kuonesha tofauti kuwa Club inayoongoza kwa idadi kubwa ya followers ndio timu ndogo kabisa kwa idadi ya mashabiki dhidi ya timu yenye followers wachache.

Chanzo chako hakijaeleza kimetumia formula gani kupata hiyo idadi ya mashabiki kwasababu katika hali ya uhalisia ukasema utoe takwimu nje ya followers basi inabidi ifanyike sensa ya mtaa kwa mtaa.

Labda watuambie hiyo sensa ilifanyika lini na kwanini mtaani kwetu hawajapita?
Hii imekaa kinyama sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom