Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #21
Lkn hata ukifanya local research kitaa kwako..uta prove kuwa Yanga Ina mashabiki wengiWametumia kigezo gani?
Vv
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lkn hata ukifanya local research kitaa kwako..uta prove kuwa Yanga Ina mashabiki wengiWametumia kigezo gani?
Vv
Inasikitisha sana.... that's y lowasa alisisitiza Elimu.... elimu.. elimuKuna watu wanapingana na takwimu dah[emoji16]
Fanya utafiti....Kila kwenye watu 10....watu 7 ni Wana yangaHao watakuwa wamehesabu na MAJINI ambayo Yanga inamilki.
Wewe unaamini kila shabiki wa mpira yupo kwenye hizo social mediaReal Madrid na Barcelona zinazotajwa kuwa na mashabiki wengi ndio timu ambazo kwenye social media zinaongoza kwa idadi kubwa ya followers.
Lakini hiki chanzo chako kimekuja kuonesha tofauti kuwa Club inayoongoza kwa idadi kubwa ya followers ndio timu ndogo kabisa kwa idadi ya mashabiki dhidi ya timu yenye followers wachache.
Chanzo chako hakijaeleza kimetumia formula gani kupata hiyo idadi ya mashabiki kwasababu katika hali ya uhalisia ukasema utoe takwimu nje ya followers basi inabidi ifanyike sensa ya mtaa kwa mtaa.
Labda watuambie hiyo sensa ilifanyika lini na kwanini mtaani kwetu hawajapita?
Hii ni sawa na kupiga punyeto tu[emoji599] TIMU ZENYE MASHABIKI WENGI AFRIKA
Al ahly.............70million fans
Young Africans..35million fans
Zamalek.......... 30 million fans
Laizer chief .......16million fans
Asec mimosa......15milion fans
Asante kotoko.....10 million fans
Simba ..........10milion fans
Source: African facts zoneView attachment 2905925
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Diamond anamzidi mbali WizKid na wasabi wngine wakubwa Nigeria kwa Subscriber wa YouTube lakini hiyo haimaanishi kuwa Mond mkubwa zaidi ya hao , hata Mamelodi post zao reactions na comments chache pengine hata follower kazidiwa na Simba hiyo haimaanishi kuwa Makolo wakubwa kuzidi Mamelodi.Real Madrid na Barcelona zinazotajwa kuwa na mashabiki wengi ndio timu ambazo kwenye social media zinaongoza kwa idadi kubwa ya followers.
Lakini hiki chanzo chako kimekuja kuonesha tofauti kuwa Club inayoongoza kwa idadi kubwa ya followers ndio timu ndogo kabisa kwa idadi ya mashabiki dhidi ya timu yenye followers wachache.
Chanzo chako hakijaeleza kimetumia formula gani kupata hiyo idadi ya mashabiki kwasababu katika hali ya uhalisia ukasema utoe takwimu nje ya followers basi inabidi ifanyike sensa ya mtaa kwa mtaa.
Labda watuambie hiyo sensa ilifanyika lini na kwanini mtaani kwetu hawajapita?
kusema kuwa na followers kwenye social media ndio kuwa na mashabiki wengi domesticaly kuna ukakasi ,me ni Yanga na Shabiki wa Arsenal ila karibia timu zote ambazo sishabikii nimezofollow , Naungana na hoja yako ya kuhitaji kujua wamepataje takwimu hizo, Ukweli ni kwamba Yanga ina mashabiki wengiReal Madrid na Barcelona zinazotajwa kuwa na mashabiki wengi ndio timu ambazo kwenye social media zinaongoza kwa idadi kubwa ya followers.
Lakini hiki chanzo chako kimekuja kuonesha tofauti kuwa Club inayoongoza kwa idadi kubwa ya followers ndio timu ndogo kabisa kwa idadi ya mashabiki dhidi ya timu yenye followers wachache.
Chanzo chako hakijaeleza kimetumia formula gani kupata hiyo idadi ya mashabiki kwasababu katika hali ya uhalisia ukasema utoe takwimu nje ya followers basi inabidi ifanyike sensa ya mtaa kwa mtaa.
Labda watuambie hiyo sensa ilifanyika lini na kwanini mtaani kwetu hawajapita?
Basi kama ni hivyo unaweza kusema kuwa Yanga ina mashabiki wengi kuliko hata Madrid kwa kigezo hicho hichoWewe unaamini kila shabiki wa mpira yupo kwenye hizo social media
Me shabiki na mwanachama wa Yanga lakini sina Facebook wala Instagram
Followers hawezi kukupa takwimu za mashabiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisa....Je wale wazee wa Yanga wapo mitandaoni???Wewe unaamini kila shabiki wa mpira yupo kwenye hizo social media
Me shabiki na mwanachama wa Yanga lakini sina Facebook wala Instagram
Followers hawezi kukupa takwimu za mashabiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi kama professional hatuvijui hivi viumbeIdadi umejumlisha na majini?
Hapana mkuu.... billions of dollars have spent.....to facilitate this researchHii ni sawa na kupiga punyeto tu
FactDiamond anamzidi mbali WizKid na wasabi wngine wakubwa Nigeria kwa Subscriber wa YouTube lakini hiyo haimaanishi kuwa Mond mkubwa zaidi ya hao , hata Mamelodi post zao reactions na comments chache pengine hata follower kazidiwa na Simba hiyo haimaanishi kuwa Makolo wakubwa kuzidi Mamelodi.
Ukubwa ni uwezo/ubora wakati takwimu ni nambaDiamond anamzidi mbali WizKid na wasabi wngine wakubwa Nigeria kwa Subscriber wa YouTube lakini hiyo haimaanishi kuwa Mond mkubwa zaidi ya hao , hata Mamelodi post zao reactions na comments chache pengine hata follower kazidiwa na Simba hiyo haimaanishi kuwa Makolo wakubwa kuzidi Mamelodi.
Labda kwenye mtaa wako . Huku Kila palipo na Mashabiki kumi , nane ni wa simbaFanya utafiti....Kila kwenye watu 10....watu 7 ni Wana yanga
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mashabiki wengi sio hoja ya kubishia, hususan pale unapojua "wengi" huanzia mbilikusema kuwa na followers kwenye social media ndio kuwa na mashabiki wengi domesticaly kuna ukakasi ,me ni Yanga na Shabiki wa Arsenal ila karibia timu zote ambazo sishabikii nimezofollow , Naungana na hoja yako ya kuhitaji kujua wamepataje takwimu hizo, Ukweli ni kwamba Yanga ina mashabiki wengi
Mi sio mtu wa kukubali kirahisi bila reasons ndio maana nipo Simba
Wewe ukiyekubali unaweza kutuambia criteria zilizotumika?
Kama data zake hazikuwa cookedHuyu ndiye mtafiti wa mwisho Tanzania juu ya timu zenye mashabiki wengi
Bila shaka upo tandahimbaLabda kwenye mtaa wako . Huku Kila palipo na Mashabiki kumi , nane ni wa simba