African facts zone: hizi ni timu zenye mashabiki wengi Africa Yanga ya pili

Wewe unaamini kila shabiki wa mpira yupo kwenye hizo social media
Me shabiki na mwanachama wa Yanga lakini sina Facebook wala Instagram
Followers hawezi kukupa takwimu za mashabiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni sawa na kupiga punyeto tu
 
Diamond anamzidi mbali WizKid na wasabi wngine wakubwa Nigeria kwa Subscriber wa YouTube lakini hiyo haimaanishi kuwa Mond mkubwa zaidi ya hao , hata Mamelodi post zao reactions na comments chache pengine hata follower kazidiwa na Simba hiyo haimaanishi kuwa Makolo wakubwa kuzidi Mamelodi.
 
kusema kuwa na followers kwenye social media ndio kuwa na mashabiki wengi domesticaly kuna ukakasi ,me ni Yanga na Shabiki wa Arsenal ila karibia timu zote ambazo sishabikii nimezofollow , Naungana na hoja yako ya kuhitaji kujua wamepataje takwimu hizo, Ukweli ni kwamba Yanga ina mashabiki wengi
 
Wewe unaamini kila shabiki wa mpira yupo kwenye hizo social media
Me shabiki na mwanachama wa Yanga lakini sina Facebook wala Instagram
Followers hawezi kukupa takwimu za mashabiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kama ni hivyo unaweza kusema kuwa Yanga ina mashabiki wengi kuliko hata Madrid kwa kigezo hicho hicho

Ndio maana nimeuliza imetumika formula gani kupata hiyo idadi??

Bado sijajibiwa hilo swali
 
Fact

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ukubwa ni uwezo/ubora wakati takwimu ni namba

Sehemu inayojali kuhusu takwimu hauwezi kutumia kigezo cha uwezo kupata conclusión

Na sehemu inayohusu uwezo/ubora huwezi kutumia kigezo cha namba kuhitimisha.

Tukitaja timu kubwa tunaweza kuiweka Mamelody mbele ya Simba. (Kwasababu ya uwezo/ubora)

Lakini tunapotaja timu yenye mashabiki wengi Mamelody haiwezi kukaa mbele ya Simba. (kwasababu ya namba)

Ukiangalia source zilizototumika kupata idadi ya timu zenye mashabiki wengi mpaka Madrid na Barcelona kuwa top, utaona kigezo kilichotumika ni Followers kwenye social media

Kwasababu ndio data ambazo zinaweza kuakisi uhalisia. Vinginevyo ifanyike sensa ya mtaa kwa mtaa dunia nzima. (Jambo ambalo haliwezekaniki)

Sasa hicho chanzo chenu hakijaweka wazi kimetumia vigezo gani kupata hizo takwimu.

Mwenye kujua atuambie
 
Huyu ndiye mtafiti wa mwisho Tanzania juu ya timu zenye mashabiki wengi
 

Attachments

  • Screenshot_20240216-183803.png
    1.3 MB · Views: 6
Mashabiki wengi sio hoja ya kubishia, hususan pale unapojua "wengi" huanzia mbili

Hoja ni wengi kwa idadi ngapi??

Kwamba unataka kusema mashabiki wa timu A wanaweza kui follow timu B kwa wingi kuliko timu yao?

Kwamba sababu ya Yanga kuwa na followers wachache ni kutokana na Mashabiki hao ku follow Club zingine kwa wingi kuliko timu yao??

Ni kweli unaweza ku follow timu ambazo sio Club zako lakini kama unafikiria kuwa hilo linafanyika upande wako unakosea.

Tupo watu wengi ambao tumezi follow Clubs nyingi ambazo sio timu zetu kwa hiyo hoja ni kwanini Clubs yako imekosa idadi kubwa ya watu wakati tumeona uwezekano wa kuwepo followers ambao hawana mapenzi na hiyo Club??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…