African Football League zamani Africa Super League kuanzia Dar es Salaam Oktoba 20, 2023

Mkuu utatobolewa macho.ohoooo
 
Maneno fc
Al ahly , raja , Mazembe na wengine 4 walichukua kombe la shirikisho baada ya kutolewa caf champions league
 
CAF watajutia kuipa Simba nafasi au kama lengo lao ni kuifanya nchi yetu iaibike Kwa Simba kufungwa mechi zote Ili timu zao ziheshimike zaidi basi sawa!

Hawa Simba vibonde wa ligi ya Klabu bingwa Africa watatutia aibu sana!

Mechi ya Ufunguzi Lupaso imejaa mbumbumbu fc fans Al Ahly 5 - Simba 0!

Yanga imefika fainali Shirikisho Africa na kuifanya Dunia ijivunie soka la Tanzania CAF hawawezi kuijumuisha wanajua Yanga ya makombe ni hatari.

Kwenye msafara wa Mamba kenge Huwa hawakosi nao huwa wamo wanasindikiza mabosi kwa kubeba mabegi na viatu vya mamba!

hapo Kuna timu imewekewa vibonde kama Simba Ili ibebe kombe na kukuzwa jina, weka Yanga uone kazi kombe lingebaki bongo!

Yanga Kuna wachezaji ukiwataza nyuso zao unaona jinsi wanakamia ushindi uje Kwa lazima Musonda, Kibwana, Moloko, Mayele, Bacca na Mudathir! Simba wachezaji wote goigoi hakuna mwenye mzuka wa ushindi labda kidooogo Saidoo!
 
Supercup nafasi zake zipo wazi kwa kila timu yenye uwezo. Mpira siyo maneno
Mlipewa nafasi, mkakimbilia shirikisho na matokeo yake mnaona kama Simba amependelewa. Nani aliwatuma mcheze mechi mbili champion league?
Champion league itaanza tena, mjilegeze tena muende shirikisho. Watu wanakaza mpaka mwisho, nyie mnajilegeza. Washindi wa pili, wanacheza champion league mpaka supercup halafu washindi wa kwanza wanacheza loosers' cup. Hii kweli ni utopolo FC.
Mtu wa pili anaonekana ana uwezo zaidi kuliko wa kwanza. Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…